BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Nisipoumia utajifunzaje???
Mwaka 2005, nliingia rasmi ktk mapenz. Nkawa na binti mmoja akaolewa nikiwa masomoni. Wa pili nikiwa naye nlimtambulisha hadi nyumban nikiwa ninania ya kumuona nikamfumania. Watatu nikiwa chuo nikampata mwngne mmasai, 2kapendana sana, wakati penz lmepamba moto kuna siku akanambia anamimba alafu sio yangu. Niliumia sana,, sasa wadau mnanishauri nin maana umri unaenda na moyo wangu umechoka kupenda coz kama ni maumivu yamezidi, najaribu kujilazimisha kupenda lakin moyo hautaki. Naomba ushauri
Pole kwa yaliyokukuta. Inawezekana hao wote uliokutana nao walikuwa si wako. Vumilia jipe moyo, jiamini, omba Mungu nawe utampata wako kwa wakati wake usipozimia moyo! Hauhitaji haraka sana unapofikiria kuingia kwenye ndoa, ndoa si kutafuta spare ya gari ukasema ukiikuta duka lolote utanunua, ndoa ni zaidi ya mahusiano. Kuwa mwangalifu.

Hapo kwenye red, usiingie kwenye mahusiano kwasababu umri umekwenda, ingia kwenye mahusiano kwasababu umependa na moyo umeridhika. Kama moyo wako umechoka kupenda upe break, ukikutana na the right person utasahau yote yaliyopita.

Mda mwingne natamani niwe na-eat na ku-run ila naogopa majanga,,,
Nisipoumia utajifunzaje???
Mhhhh, si maumivu ya namna hii bana, haya husababisha wenye mioyo dhaifu hata kuikimbia dunia! Hukosoma last week kwenye magezeti kuna housegel fulani toka huko Iringa aliiaga dunia kwa sababu ya hii makitu?
Usi-eat na ku-run, kama sio tabia yako utaumia zaidi
Fanya vitu vinavyokufurahisha kwa sasa, pumzika mapenzi kwa muda
Usijipe pressure ya kuwa unatakiwa kuoa, hakuna due date ya kuoa ukizaliwa
Watu huoa na kuolewa pale tu wanapowapata watu wanaowatamanisha kuingia ndoani
Vinginevyo utaambulia majanga, kula bata simaanishi ufanya uzinzi tu