Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,767
- 61,409
- Thread starter
- #21
Fafanua zaidi mkuuMapenzi kwangu ni kusokotana in ( suzana Bernard voice) then kurara mbele full stop
Fafanua zaidi mkuuMapenzi kwangu ni kusokotana in ( suzana Bernard voice) then kurara mbele full stop
ha ha ha ha.........Kufanyana.
Kama furaha kwake ni kutokufanya tendo,Je utavumilia?
ha ha ha ha sawa mkuu,nimekupata...unamaanisha mapenzi ni kulipa bili?Umepotea ndugu hayo yote siku hizi ni upepo tu MAPENZI NI PESA acha kupoteza muda tafuta pesa
Kwa wale wanaojiuza huwa kuna mapenzi?Kwangu mapenzi ni kupewa K niitafune bila kuitafuna kwangu mapenzi ni 0%
Kwa hiyo tendo ni muhimu zaidi mkuu,ikifuatiwa na vitu vingine?
Sawa mkuu,umeeleweka
ha ha ha kwa hiyo mkuu kila unayefanya naye tendo huwa kuna mapenzi?
ha ha ha ha sawa mkuuKabsa boss hata kama n malaya
Kama n demu tukidate mwaka bila hio kitu siwez count kama ilikuwa relationships na hapo sio mapenzi
Uphala tu mkùuMapenzi kwako ni nini?
Je,ni kuishi pamoja, kula pamoja, kuoana, kutoka wote out pamoja, kutembelea ndugu, kuzaliana, kufanya tendo la ndoa, kusaidia watu, kutumiana hela, kupigiana simu, kuandikiana barua, kuoga pamoja au ni kitu gani wakuu?
ha ha ha haUphala tu mkùu