Mapenzi kwa kutumia mdomo...

Kuna madhara kidogo tu kwa Wanaume: kansa ya koo na kaswende ya mdomo.
 

Thanks a lot kwa ushauri,nimekuelewa vizuri sana.
Ubarikiwe.
 
sikushauri ufanye hivyo..usipende.kuchota kila neno sikiliza acha! chenye manufaa beba..ukisikia njia za.kuinua uchumi kwenye familia hapo nyanua pina.zako za masikio usikilize kwa makini ila mastory haya mengine yaache hapohapo...

Mkuu, mwenye masikio na asikie huu ujinga waafrika tunaoiga kisa wenzetu wameendelea kwa kila kitu. Kwa nini mtu afanye hivi. Nahisi hata ni DHAMBI.
 
Mkuu, mwenye masikio na asikie huu ujinga waafrika tunaoiga kisa wenzetu wameendelea kwa kila kitu. Kwa nini mtu afanye hivi. Nahisi hata ni DHAMBI.

Eti jamani hata wanyama hawafanyi hivi..sembuse binadamu?! huu ni usodoma na ugomora kabisa..
 
kama wewe upo kwa ajili ya kumfurahisha mwanamke na kujichimbia kaburi shauri lako..utaishia kusema wanapenda wanapenda mpaka koo linatoboka kwa cancer..

Kwa Feminist sawa, lakini kama si kufurahisha jukwaa, ukweli ni kwamba wanaume na wanawake wanawake wanapenda sana kunyonyana, tena huo mchezo naona unashika kasi. Mie nashauri kama zingepatikana kondomu za ulimi tu ingesaidia la sivyo sodoma ile paleeee......but kuacha ni jitihada za mbioni pia!
 
Hakuna madhara ikiwa utrafanya namke wako tu. Ni miaka 2 tangu nianze kufanya oral sex na mke wangu na sijapata tatizo lolote lile.
 
Madhara utayapata tu we ngoja uoze kinywa ndio utajua
 
oral sex inaweza kuleta ugonjwa unaoitwa periodontal disease unaosababishwa na Entamoeba gingivalis.be very careful
 

swala muhimu sana, nadhani CCM watakuwa wamelizungumzia kwny rasimu mbadala
 
Haina madhara hata kidogo - inategeana na usafi wa mwenza wako... kama mchafu hapo ndo kasheshe ilipo. Kumbuka kila kitu kina faida na hasara.

mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh kama ni mchafuu unaweza kuwa na mdomo kama wa makinda ya ya ndege full fangasii za kutohaaa hata uweke bvj huponi ooohooo
but kama ni msafiii unaweza hata kunywa majimaji yakee na ukinyonyan ---- vizurii jua hiyoo ni super glue na ma mvidole
hawezi kukuachaaaa
 
DO! ni hatari sana upo uwezekano wa kushambiliwa na virusi vidogo sana kwa ufupi vinaitwa PPV,hivi hua vinapatikana katika maji (sperm)yanayotoka kwa mwanamme,hua yanaathiri koo na mwishoe ni kupata maradhi ya kansa ya koo,pia virusi hivi hata kwenye yale maji yatokayo kwenye Uc........ wa mwanammke pia hupatikana.
 

sisi hayatuhusu waulize haohao wa vijiweni umekalia mambo ya kijiweni tu sufanye kazi za maana baada ya muda utakuja unaisema serikari haijawasaidia kupata kazi kumbe vichwa vyenu vyenu vimejaa na kuwaza mapenzi tofauti na kufanya kazi
 
Madhara ya kuiga vitu bila kufikiri ni hatari sana

Tanzania ipo East Africa equitorial region. Jua kali high temperatures bado unataka kuzama huko chini ukitegemea hutopata fungal infection? Thats suicide
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…