Habari zenu waungwana...natumaini mko poa.
Jamani niko kijiweni hapa na washikaji,umezuka mjadala mzito kuhusu mpango mzima wa kuzama chumvini na ulambaji koni...baadhi ya wadau wakijaribu kutushawishi wale ambao hatujawahi kutumia njia hizi.
Naomba kufahamu,je,kuna madhara gani kufanya mapenzi kwa njia hizi?