kwa hyo tusiye sikiliza redio free hatuna haki ya kucheka? acha wivu ww! teh teh teh uwii! eccelent unaharibu mbav zangu!Imesha tolewa hapa na umekopi kutoka Kwa fredwaa wa RFA ,ukakosea hata kuipresent.
hapo ndo jamaa ataishiwa nguvu,chips bei ghali bhanakwa hyo tusiye sikiliza redio free hatuna haki ya kucheka? acha wivu ww! teh teh teh uwii! eccelent unaharibu mbav zangu!
kwa hyo tusiye sikiliza redio free hatuna haki ya kucheka? acha wivu ww! teh teh teh uwii! eccelent unaharibu mbav zangu!
Imesha tolewa hapa na umekopi kutoka Kwa fredwaa wa RFA ,ukakosea hata kuipresent.
Imesha tolewa hapa na umekopi kutoka Kwa fredwaa wa RFA ,ukakosea hata kuipresent.
endelea kutuletete nyingine zaidi kutoka rfa tucheke pamoja..Jamaa akakutana na demu njiani akielekea kanisani. Jamaa alivutiwa na binti yule akaanza kutupa mistari,kabla ajapata jibu wakafika kanisani. Katikati ya ibada wakati wa sadaka jamaa ili kujionesha jinsi anavyo mpenda yule binti alimnong'oneza "...Usijali nitakutolea sadaka".