Mapenzi kazini

jaffari odhiambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
526
Reaction score
13
Hivi ni kwa nini mabosi hufanya mapenzi na wafanyakazi? Hili jambo naona kama ni tabia mbaya sijui wewe mwenzangu unalisemeaje ama unalizungumziaje.
 
Mmh kwani mbona wazee wenye nyumba wanafanyaga na mahausgirls zao? Ndo zao hizo !!
 
Ni mtazamo wako tu kuwa kuna mapenzi kazini lakini ukweli ni kwamba watu hufanya ngono na si mapenzi.
 
Unatumia kilicho karibu nawe,ni kama mwalimu wa primary kumbikili binti atakaekuja kuwa mkeo,ama lecture kugegeda dent ili aongezewe g.p.a ndivyo kwa housegirl na mpangaji kwa mwenye nyumba,ama shamba boi kwa mama boooosssh
 
Vile vile mliooa manesi wanagegedwa na madaktar kwenye mambo ya night shift..... Hahahaaa! Askar kwa askari wakiwa depo ndio usiseme.
 
Unatumia kilicho karibu nawe,ni kama mwalimu wa primary kumbikili binti atakaekuja kuwa mkeo,ama lecture kugegeda dent ili aongezewe g.p.a ndivyo kwa housegirl na mpangaji kwa mwenye nyumba,ama shamba boi kwa mama boooosssh

na vp mwalimu wa kike kubanjuliwa na bodaboda au konda?? Mbona hawapo karibu?
 
Nitashangaa sana kama nikikuta mathalan robot likifanya unayoita mapenzi na bosi ama mfanyakazi mwingine asiyekuwa robot. Kuna jambo moja ni dhahiri kwamba kunapokuwepo na interaction ya watu wawili wenye jinsia tofauti kwa mda mrefu hizi emotion ni angalabu kutotokea, kinachozua ama kuruhusu kujamiiana ni namna wawili hawa watakapoweka moral value zao na kuangalia miiko yao ya kazi ila ikiwa wote watashindwa kuzuia sina hakika kama ni kosa wakalianzisha libeneke hata kwenye dawati la boss! Ni mawazo tu!
 
Its all about interactions na muda mwingi wako pamoja. Akili ya binadamu inakawaida ya kunasa na kujishughurisha na kitu au mtu uliyekaribu nae muda mwingi. Mpenzio waonana nae mara moja, kama umeoa au kuolewa mkeo au mumeo waonana nae jioni ila mchana kutwa unashinda na either boss wako au mfanyakazi wako. Kama anamvuto kumkwepa ni ngumu sana tena kama mlishajisocialize kupiga stories na breakifast au dinner kupata pamoja ndo kabisa. Siku mnajikuta hahaha.
 
Wafanyakazi nao wanatega. Anavaa nguo fupi halafu anakaa mbele yako na kuchora nne akirembua huku vyungo vyake vikiwa nje. Hata ungekuwa wewe ungemwacha?
 
Wafanyakazi nao wanatega. Anavaa nguo fupi halafu anakaa mbele yako na kuchora nne akirembua huku vyungo vyake vikiwa nje. Hata ungekuwa wewe ungemwacha?

Mbele ya safari ni shida tu unajitafutia

Don't do it unless you wanna take it to next level
 
Mapenzi yanakuwa matamu sana hasa Bosi unapokuwa na mapenzi na secretari wako baada ya kazi pale ofisini.
 
aishh! umenikumbusha utamu wa secretary wangu, ngoja nimuite tugegedane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…