Mapenzi kama safu ya mchwa.

Levis Ndekeno

New Member
Jul 10, 2012
4
0
Daaah! Maisha ya siku hizi bila mapenzi mbele hamna chochote. Haswa sisi vijana tunaendekeza sana mapenzi kuliko chochote kile. Kwa atkaye pinga kuhusu hli acoment na awe na vthbitsho tosha vya kunfany nkubar
 
Mpoki alishaga kukuambia kuwa "Mapenzi yana nguvu kuliko Breakdown"
 
unajua mapenzi ni jinsi utakavyo yahandle. kama utatongoza pesa mbele utampata wa pesa mbele. ukweli mapenzi sio pesa. mapenzi yangekuwa ni pesa matajiri wasingepeana taraka au kutengana. mia
 
Unaweza ukaishi bila mapenzi na ukaenjoy sana, ila hii neno lina maaka kubwa sana labda ungetufafanulia ni mapenzi ya aina gani unayozungumzia.
 
Back
Top Bottom