mandela faiton
Member
- Feb 17, 2014
- 26
- 6
ata mimi bora pachimbike
r.i.p kabla hujafa
Hapa unavyosoma nimeshakufa mara nne kwa ajili ya mapenzi huyo mara moja tu analalamika
Bado mimi mchepuko ujanifia aisee... ukiwa unakifa kwa ajili yangu nikabidhi kila kitu cha thamani afu ufe usirudi tena ufe kabisa kabisa kabisa tukufukie
kwa kweli bado wewe yaani nakukabidhi kila kitu tena nisirudi Tanzania nikaibukie huko
nimekuwelew sn 2 ucjalKha! Wa wapi wewe? Ukiniambia hutaoa kabisaaa kidogo nitakuelewa. Lakini tambua wewe ndie utafanya kazi ngumu kwa ajili ya mwanamke na watoto wako! na ndie utakayeumia kwa ajili yao! sio lazima ujiue moja kwa moja lakini kazi na jinsi unavyohangaika kwa kwa ajili yao itakuua ..... utakuwa umekufa kwa ajili yao.
Nina wasiwasi kama Born2xhine umenielewa.
Ukaibukie ziwa la moto na boya lako
mara 4 hoo utakuwa ghost ww