Mapenzi kama majani yanaota popote

Mapenzi kama majani yanaota popote

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Inawezekana usemi huu unamaana kubwa kulivyotunavyofikiria ! Mapenzi kama majani yanaota popote ,ila sijui kama angani yanaota?

Pengine umeolewa ,umeoa,unampenzi na mmeshikana kikweli ,Je unaweza kuacha kutamani au kumtamani ,pengine amekupitia mbele ya macho yako? Na ameumbika si haba.

Na ukaendeleza kumtazama hadi anakopinda kona ,bila ya shaka mawazoni utakuwa na fikra nyingi tu za matamanio ,pengine unaweza kuita ni window shopping ,nashindwa kuifahamu hali hii.

Mbali yangu nimejaribu kuitazama hali hii kwa wengine,bila ya wao kujua kama wanatazamwa ,ni watu na wake zao ,na waume zao,na wapenzi wao ,huwa wanakodolea macho kiumbe walichokimind ambacho kimekatiza mbele ya macho yao, sijui kwenye akili zao wanafikiria kitu gani ,lakini si jingine ,utazamaji wao ni wa kimatamanio ,kwani haiwezekani unamtazama mpaka anapoelekea na akihisi kama yule mtazamaji kama kuna mtu anamtazama utaona anavyobabaisha ila hachukui sekunde anarudisha shingo na macho huko kinakoelekea kiumbe.

Suali Je wako watu wametulia na hali hii hawanayo? Je hili ni kosa kwenye wapenzi au hali hii inakubalika na kuikubali ni kuwa haiwezi kuepukika?

Au wewe unaweza kuiepuka?

Kwenu wadau wa mmu:flame:
 
Hapa nitakuwa mwangaliaji wa mpambano unavyoendelea
 
Huko n kuendekeza tamaa hakuna lolote. Hivi umekaa na mpenzio mahali halafu unageuka had shingo inataka kuvunjika kisa umemuona msichana mkali sana kapita hiv hata nafs haikusuti...sjui sio wote mim hua sina time na mtu na napokua na mwenza wangu na concetrate pale nilipo kwenye kile tunachoongea hizo n.tamaa tu hakuna kingine ridhikeni na mlivyonavyo mtaka mingi nasaba hupata mingi misiba.
 
Asuuze tu macho ila nisimuone, nkimuona kesi....

Bila ya shaka wewe ndio hakimu !!! Nini hukumu yako ? je wewe kwa upande wako alot of handsome boyz arround and they have what unafikiria , you know ! sense it ! Unaangalia unafikiria ingawa huwezi kusema yaani unahangaika na ububu ,sababu tayari una wako pembeni ,lakini kiumbe kimetimia ! Unasemaje hapo au ndio kama mamaafacebook
 
Huko n kuendekeza tamaa hakuna lolote. Hivi umekaa na mpenzio mahali halafu unageuka had shingo inataka kuvunjika kisa umemuona msichana mkali sana kapita hiv hata nafs haikusuti...sjui sio wote mim hua sina time na mtu na napokua na mwenza wangu na concetrate pale nilipo kwenye kile tunachoongea hizo n.tamaa tu hakuna kingine ridhikeni na mlivyonavyo mtaka mingi nasaba hupata mingi misiba.

Umejuajee eeei umejuaje ~~?? Je tuseme anaeisifu mvuwah ! Kuridhika ?? Even though kumbuka mapenzi ni kama majani ! Eti hayana wakati hayachagui !
 
Bila ya shaka wewe ndio hakimu !!! Nini hukumu yako ? je wewe kwa upande wako alot of handsome boyz arround and they have what unafikiria , you know ! sense it ! Unaangalia unafikiria ingawa huwezi kusema yaani unahangaika na ububu ,sababu tayari una wako pembeni ,lakini kiumbe kimetimia ! Unasemaje hapo au ndio kama mamaafacebook
To hell na uhendisamu wao, nlienae ni hendisamu zaidi yao ndo maana nipo nae
siwezi kuwa pangaboi nazungusha shingo kumcheki mtu wakati npo na mupenzi, kwanza ni kumkosea heshima huko
 
Yaaani haijwah tokea kuumiza shingo kwa mali si yangu
 
Umejuajee eeei umejuaje ~~?? Je tuseme anaeisifu mvuwah ! Kuridhika ?? Even though kumbuka mapenzi ni kama majani ! Eti hayana wakati hayachagui !

Hatakama siwez umiza kichwa na shingo na macho kisa kumepita handsome boy !!!! Tena siwez kuthubutu hata siku moja
 
To hell na uhendisamu wao, nlienae ni hendisamu zaidi yao ndo maana nipo nae
siwezi kuwa pangaboi nazungusha shingo kumcheki mtu wakati npo na mupenzi, kwanza ni kumkosea heshima huko

Hivi mbona umekalia kimashindano na sijui umevaa jezi nambari ngapi ,let us go ,by the way haina haja ya ku go deep na kukusaikoloji ,lakini nikuulize suali ,baina yetu mimi na wewe na wana mmu ,hivi hujawahi kupenda ? Ikiwa unafuga na ukifugacho ni aina ya dume ,bila ya shaka utapenda kumuita jina zuri ? jina gani ! Haya kama ni muangaliaji wa movie utakuwa unapenda movie flani flani unafikiri ni gani na muigizaji gani iwe wa kike au wa kiume ,tuchukulie wa kiume ,awe wa kutoka shemeu yeyote ile ,? Please unaweza kunipa jibu ? usigune !
 
Yaaani haijwah tokea kuumiza shingo kwa mali si yangu

, Nani kakwambia kama mali sio yako ? Umeshaiita mali ,it sounds something lovely ,okay unamaana unaweza kuumiza shingo kwa mali isiyo na mwenyewe ? Usiseme mh !
 
Hatakama siwez umiza kichwa na shingo na macho kisa kumepita handsome boy !!!! Tena siwez kuthubutu hata siku moja

Ohoooh ,naona wewe mkali sana ,unataka kusema hujawahi kupenda ?
 
Hivi mbona umekalia kimashindano na sijui umevaa jezi nambari ngapi ,let us go ,by the way haina haja ya ku go deep na kukusaikoloji ,lakini nikuulize suali ,baina yetu mimi na wewe na wana mmu ,hivi hujawahi kupenda ? Ikiwa unafuga na ukifugacho ni aina ya dume ,bila ya shaka utapenda kumuita jina zuri ? jina gani ! Haya kama ni muangaliaji wa movie utakuwa unapenda movie flani flani unafikiri ni gani na muigizaji gani iwe wa kike au wa kiume ,tuchukulie wa kiume ,awe wa kutoka shemeu yeyote ile ,? Please unaweza kunipa jibu ? usigune !

sijakuelewa hata nukta
 
, Nani kakwambia kama mali sio yako ? Umeshaiita mali ,it sounds something lovely ,okay unamaana unaweza kuumiza shingo kwa mali isiyo na mwenyewe ? Usiseme mh !

Ni hivi huyo nilenae had nimekua nae that means kama n handsome bas yy n most handsome sasa niwe na mpenz nigeuze shingo kuangalia kipi?? Kukosean adabu tu huko
 
Mmmmhhhh asuuze tu macho kwa raha zake. Akitaka amalizie na rungu kabisa
 
sijakuelewa hata nukta
Nani hapa JF na haswa humu MMU atakuamini kama hujaelewa hata nukta ,yaani mijicho yako ilivyokuwa mikubwa hujaona ndani ,mbona makubwah ! Unataka kuniambia akili yako haijatulia,maswali kedekede nimeuliza ,wewe hujayaona wala hujayafahamu ,"It takes a real man to make a woman satisfied......." ,is this sentence makes senses to you ?
 
Unanikanyagia waya tu wewe...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom