Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,771
nitajie hivyo vitu my dadawe shudnt!sharbu zinaharibu sana k !wadada tafadhalini sana hiyo minato mnatafuta mnaweza kuwa nayo bila kutumia sharbu.sharbu inaondoa naturality!vipo vitu unaweza kufanya unakuwa poa tu!