Mapenzi jamani mapenzi yanaliza!!! Ila aliyefanya hivi hajui vizuri vikoje!!!

lea-michele-crying.jpg dahhhh
 
Ukiona mtu mzima mamaaaa!, analia mbele za watu, ujue kuna jamboooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:violin:
 
ni kweli mapenzi yanaliza ...sio wakati wote yanaliza kwa uchungu...
shupaa.jpg
wakati wa kulia kwa raha huwa ndo mtamu zaidi
shupaa2.jpg
 
Hahahaha kwanini?.....anatia huruma lakini

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums

Ha ha haaaaaaaa! Yaani hiyo sura badala ya kutia huruma ntaona ananikera. Tena nitaogopa watu wasije wakamuona anavyolia vibaya! Lol!
 
  • Thanks
Reactions: awp
hii mbona haina uhalisia chozi ladondoka huku macho meupeee tena jicho lingine halina ushirikiano na mwezake au ndio picha duka!hakuna dalili ya simanzi wala hisia katika tukio husika!
 
Back
Top Bottom