Mapenzi jamani mapenzi yanaliza!!! Ila aliyefanya hivi hajui vizuri vikoje!!!

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,282
377583_230948340364586_1168642713_n.jpg
 



Hiyo ni moja katika zile silaha zao za maangamizi,na huwa inatumika baada ya kushindwa kushawishi ili apatiwe kile akitakacho.Na mara zote silaha hii hutumika pale upole, tabasamu,kubembeleza na uongo vinaposhindikana.Na mara nyingi inapoonekana kuwa chozi nalo bado halina ushawishi basi kinachofuata ni kutishia kujitoa maisha,yote hiyo ni katika kuhakikisha tu anatimiziwa kile akitakacho.mh.............
 
377583_230948340364586_1168642713_n.jpg


Mbona analia kwa jicho moja tu, mm nina wasiwasi kapata matokeo mazuri ya mtihani au vipimo vya mimba kukubali wakati waliokuwa wakimzushia ...........
 
Mbona analia kwa jicho moja tu, mm nina wasiwasi kapata matokeo mazuri ya mtihani au vipimo vya mimba kukubali wakati waliokuwa wakimzushia ...........
Ukimwona mtu mzima analia tena chozi likitoka jicho moja, ujue ana uchungu mno.
 
Back
Top Bottom