Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
Umeshakuja wewe, inatosha 😊🤗Subiri wanakuja
Utanikuta baba Antipas, endelea kupambanaNitakuja kuchangia saa 5 usiku mshangazi bado Niko huko nakimbizana na jiji
Ulitegemea kuna listori la kuamsha amsha 😆😆Mada na kichwa cha mada ni njia panda
😂😂😂
2018, nilienda kwa ajili ya matibabu baada ya kupata ajali mbayaMara ya mwisho umeenda hospitali lini? (na ilikua kwa ajili ya matibabu, kutembelea mgonjwa au kufanya checkup?)
Huwa nawaza ujinga mwingi sana😂Kitu gani ulikifanya wakati hisia za mapenzi zimekukolea ukikumbuka unajicheka mwenyewe?
View attachment 3425071
Kama hujawahi kuchanganywa na hisia - Jibu swali lolote kati ya haya tuzogoe;
- Ulifanya nini kumsahau mtu uliyempenda baada ya kuachana naye?
- Bado miezi minne mwaka uishe, vipi malengo yako yanaelekea kutimia au tutajaribu tena 2026?
- Wimbo gani unausikiliza on repeat wiki hii?
🤣 🤣 🤣 🤣Huwa nawaza ujinga mwingi sana😂
Pole sana, natumai ulipata tiba ukarecover na sasa uko sawa.2018, nilienda kwa ajili ya matibabu baada ya kupata ajali mbaya
Hivi kwanini kile kifuniko cha asali....! Ah basi ngoja nisiulize😂🤣 🤣 🤣 🤣
Kuna ujinga mwingi sana ukiwa umelazwa hapo karibu na moyo unapodundia 😅
Uliza tu kaka Mshana, ukikaa nalo moyoni litakuchosha 🤣Hivi kwanini kile kifuniko cha asali....! Ah basi ngoja nisiulize😂
Mashangazi tumegoma bado hayajatuvuruga vya kutoshaMapenzi yafutwe....