Ha ha haa.......nasikia yule wa jana alinasa kunako 0713...for the first time TEGO kuwekwa huko.....na mume alimtahadharisha mke kuwa ametega yeye akajihami kwa kutoa 0713.......kumbe nayo imetegwa pia
Kuna vitu vya kujiuliza kuhusu hii tego.....mwenye mali akitaka weka tego ni muhimu dawa husika kuipaka kwenye "dushelele" ndo anaiweka panapotegwa....kwa maana nyingine mwenye mali naye ni muumini wa 0713 kwani aliiwekaje hiyo tego,its obvious alifanya ufilauni ndani ya 0713(kwani dushelele ndio deepstick ya kuweka tego)....hizi ndoa zina mengi kweli,na ushetani ndani