Mapenzi hayachagui

Mapenzi hayachagui

Humu JF kuna watu wanamajibu ya ajabu sana hua sometimes naishia kucheka tuu,shosti Sky Eclat kuweli tusikate tamaa lakini mfano mie nna watoto 6 na usawa huu bado tuu nisosema sasa nitulie na wanangu au nirudi kwetu jiji limenishinda
nategemee bahati ya mtenda,kuna wenye bahati zao lakini sio yakulalia mlango wazi lol.....
 
Ivi unapataga wapi ivi vidrama vya kuwaliwaza wenzio

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Kweli mapenzi ni upofu

Yaani bikra ya moyo hujaikuta, bikra ya chini pia hujaikuta, bikra ya kizazi pia holaaaa. Halafu bado mtu anakaza

Duh mapenzi haya wajameni
 
Back
Top Bottom