Mapenzi haya yatanishinda

Possibly ilikuwa one night stand then wew ukanogewa ila yey hajakuelewa so step further wanaume tupo weng then uwe miss independency utaenjoy sana maisha hutaumizwa sana
 
Jitahidi hata kidogo.....

Huyu ni mtoto na huenda huyo anayemuita jamaa yake ni mtoto pia. Hebu angalia huyu bi dada vitu anavyovilalamikia, na matendo ya huyo kijana. Halafu pia angalia muda alioanza uliopita tangu ajuane na huyo jamaa.

 
Chezea hela n uhandsome unapewa papuchii fasta,halafu bidada anakasoro zke nying hvi kua n m2 unataka ujua cjui passwrd z fb.4mnth utataka kujua ac yke inakias gani

Jamaa kashtuka wewe macho kodo hauko 4 love uko afta money, ingekua mimi mpka ushtuke nimekugegeda 6mnth mpka nakinai.shida yko uliona anavisent vyke chupi ikakubana so usimbwelabwela hpa wakti wewe ndio tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…