Mapenzi haya yatanishinda

Mapenzi haya yatanishinda

love peace

Senior Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
130
Reaction score
37
Habari wana JF,

Nirudi katika mada,yan nashindwa kuelewa nimueleweje huyu mwanaume wangu wa sasa.

Tuna mahusiano ya kama miezi miwil lakini ghafla naona amebadilika hanijali hata nikienda kwake anaweza toka nje kupiga story na rafik zake na akaniacha ndani.

No sms kama zamani wala hana muda hata wa kutoka na mimi na hata FB yake hataki nijue password yake.

Sina amani na mahusiano haya.

kweli ana pesa,mtanashati lakini sioni raha ya mahusiano.nikimuliza ananiambia dada zake wamegombana nyumbani ndo mana amekuwa hivyo lakini sidhani kama ni sababu.

Nisaidieni cha kufanya wana jf nina mawazo sana.
 
nice sunday wana jf.
Nirudi katika mada,yan nashindwa kuelewa nimueleweje huyu mwanaume wangu wa sasa.tuna mahusiano ya kama miezi miwil lakin gafla naona amebadilika hanijali hata nikienda kwake anaweza toka nje kupiga story na rafik zake na akaniacha ndan.no sms kama zaman wala hana mda hata wa kutoka na mim.na hata fb yake hataki nijue password yake.sina aman na mahusiano haya.kweli ana pesa,mtanashati lakin sioni raha ya mahusiano.nikimuliza ananiambia dada zake wamegombana nyumbani ndo mana amekuwa hivyo.lakin sidhani kama ni sababu,nisaidieni cha kufanya wana jf nina mawazo sana...

Alikutamani huyo' amepata alichotaka hana mda tena nawew! Kama vp nawewe mpotezee, andika umeumia tu' kuanza upya sio ujinga!! Wakati mwingine mjue mtu vizuri kabla haujafanya maamuzi!

Pole na kila lakheri!!
 
Alikutamani huyo' amepata alichotaka hana mda tena nawew! Kama vp nawewe mpotezee, andika umeumia tu' kuanza upya sio ujinga!! Wakati mwingine mjue mtu vizuri kabla haujafanya maamuzi!

Pole na kila lakheri!!

ameongea cha maana sana...dada piga kimya usiende tena,endelea na life lako,huyo kashatosheleka...achana nae atakusumbua moyo bureee
 
Alikutamani huyo' amepata alichotaka hana mda tena nawew! Kama vp nawewe mpotezee, andika umeumia tu' kuanza upya sio ujinga!! Wakati mwingine mjue mtu vizuri kabla haujafanya maamuzi!

Pole na kila lakheri!!

natamani nimwambie mapema kwamba tuachane kabla hajaniacha yeye ni sahihi?
 
Dada hutakiwi chapa lapa, mbona mambo mengine hayahitaji hata maelezo zaidi....
na hivi ushampa tamuu!!!!
 
t was too soon kumpa cookie...buuut,sinc ts done..achana nae,haina hata haja ya kumwambia muachane...piga chiniiii,no contact,no msg...consider urself single..no person treats hs girl hvyo tena 2months!kha imagne mkifika 6..lol...on to the next on my dear...consider t a 2 months stand
 
Miezi miwili unataka kila kitu? Uko kwenye training dada hawezi kufanyia everything mda mfupi hivyo. Anaendelea kukusoma kama unataka kumuonyesha unam-control sana huenda akabadilisha uamuzi
 
Mtafanya wasiwe wanatupa "Pampuchi" mapema sasa maana watashituka..!!!
 
Back
Top Bottom