Mapenzi haya kero nishaurini

Yani we dada uko criaz au unatania? huyo ni si mume wa mtu jamani? lakini umemfungulia hadi thread ambayo nimesoma but hamna nilichoambulia duh, umri huo badala utulie umuombe Mungu akupe alie wako unapambana na wazee wa miaka 65 kama sio kutafuta laana ni nini khaaa
 
Ndo umeona uje kunianshia uzi huku? Daaah Asante Sana. Au ulidhani Mimi huku sipo?

Asante Sana
 
😂😂 miaka 65 hapana kwa kweli labda anihonge BRABUS ,yani wewe una kazi bado unahangaika na vijisent vya wazee
 
Umri wa mtu sio sababu ya kufikiri atajitambua hii ipo kwa wanawake na wanaume pia.
Maturity ina nafasi kubwa kwenye busara na kujitambua. Kinyume cha hapo mtu ana matatizo, hio hata kisayansi ndio maana makuzi yana hatua kulingana na umri. Ukikuta kijana wa miaka 16 kavaa kata unaweza kusema akikua ataacha ujana/utoto unamuendesha ila ukikuta jibaba lina 40+ linavaa kata k hapo unajua kuna tatizo mahali si bure.
 
Cataliyya Uliponaga ule Ugonjwa wako wa Depression?
 
Miaka 65 na bado yuko ofisini hajastaafu, na wewe 32 naendelea kumvizia tu mpaka leo!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…