Mapenzi halisi toka kwa mwanamke

Mapenzi halisi toka kwa mwanamke

Kwa nlivyoelewa umemaanisha kuwa tuwajali wanawake kwa ku offer vitu flan flan,ila natka kuuliza vp na wale madem wanaogharamikia waume/wapenz wao tuwaweke kweny kundi gani?
 
Najarbu kuwaangalia matajir walivyojitosheleza kifedha ila wake zao ndo wanaongoza kuliwa na mabodaboda na waendesha tax,sasa cjui mechanism ya hyo pesa kweny mapnz imetumika wap?
 
wake wapi wa matajiri?
acha kuandika urojo. umekuwa sasa.
 
Kwa nlivyoelewa umemaanisha kuwa tuwajali wanawake kwa ku offer vitu flan flan,ila natka kuuliza vp na wale madem wanaogharamikia waume/wapenz wao tuwaweke kweny kundi gani?
Mkuu mwanamke nae nikiumbe anaujali pia na anaweza kusaidia n.k
Hao watakaa kundi la wenye upendo pia hata yule asienacho Kuna vitu fulani akikupatia hata Kama si chakuonekana tunaweza ita ni upendo pia.. Mambo ya Sasa yamekuja kufuta tafsiri ya upendo ndio maana watu ukiwaambia hivi hawaelewi!.
 
Najarbu kuwaangalia matajir walivyojitosheleza kifedha ila wake zao ndo wanaongoza kuliwa na mabodaboda na waendesha tax,sasa cjui mechanism ya hyo pesa kweny mapnz imetumika wap?
Unaweza kuwa na pesa lkn ikawa haijitoshelezi.. ndio maana nikaweka sifa kadharika hapo.. Mara nyingi mtu hufuata kitu nje kile ambacho hakipo ndani!.. usikute ndio pesa ipo lkn pia sex performance haipo!.. nakumbusha Tena let's be gentleman.
 
Aah
Mkuu mwanamke nae nikiumbe anaujali pia na anaweza kusaidia n.k
Hao watakaa kundi la wenye upendo pia hata yule asienacho Kuna vitu fulani akikupatia hata Kama si chakuonekana tunaweza ita ni upendo pia.. Mambo ya Sasa yamekuja kufuta tafsiri ya upendo ndio maana watu ukiwaambia hivi hawaelewi!.
aah!bac nikubaliane na ww kuwa upendo wa kwel haujajichimbia kweny hela sema ss ndo tunaupeleka huko maana ,cdhan kama nitakuwa sahihi kwa maelezo hayo
 
Unaweza kuwa na pesa lkn ikawa haijitoshelezi.. ndio maana nikaweka sifa kadharika hapo.. Mara nyingi mtu hufuata kitu nje kile ambacho hakipo ndani!.. usikute ndio pesa ipo lkn pia sex performance haipo!.. nakumbusha Tena let's be gentleman.
Yaan hili neno kupenda n mtambuka sanaa maana kama unapesa utapendewa pesa zako ila kwama unashindwa kumridhisha ataipeleka kwa anaemjulia vzur na uhalisia atachota pesa zako kumpelekea anamridhisha,kwa hyo m naona tu play pande zote,kuwaridhisha na kuwapa hela
 
Aah aah!bac nikubaliane na ww kuwa upendo wa kwel haujajichimbia kweny hela sema ss ndo tunaupeleka huko maana ,cdhan kama nitakuwa sahihi kwa maelezo hayo
Hela tafsiri yake nimesema ni mahitaji tu.. so sio kizingiti cha moja kwa moja kuwa kitakuleta mapenzi ya kweli!.. upo sahihi mkuu vitu hutegemeana maana hata kwenye utu pesa hukaa pembeni!.. mtu anaweza kukutendea jambo bila kujali pesa yako na mtu anaweza kutanguliza pesa na akakosa hiyo huduma wkt Kuna mtu alitanguliza utu akapata huduma!.
 
Wanawake wanaposema wanapenda gentlemen wanaamanisha wanaume wenye pesa maana huwezi kuwa gentleman bila mzigo wa kutosha mfukoni.
 
Huyu mwamba toka wajumbe wa jf walipompiga biti kwanini ana comment wa kwanza kwenye kila uzi alitokomea pasipojulikana..🤣🤣🤣
Binadamu wabaya sana aiseh..😅😅😅
Ila nafikiri ni majukumu yamem’bana
 
Wanawake hawaeleweki utayafanya yore lakini utaishia kuumizwà maana wana kawaida ya kumkinai mwanaume na kufanya visa wañaondoka
Atleast umeongea point ya msingi, labda cha kuongezea.

1.Kitu kimfurahichasho mwanamke leo sio kitu ambacho kitamfurahisha week ijayo. Utahisi kumpa mahela ya shopping avae nguo za gharama ndio umemuweza ila itafika stage atazoea hela so itakuwa sio big deal, utaanza kuambiwa hujali. Kutimiza mahitaji ya KE ni kipengele

2. Kitu anachokipendea kwako mwanamke sio kitu anachokipendea kwangu. Hii kwa kifupi inaitwa tamaa. Ni mtihani mgumu sana mwanamke kuishina tamaa wanaume tofauti.
 
Unaweza kuwa na pesa lkn ikawa haijitoshelezi.. ndio maana nikaweka sifa kadharika hapo.. Mara nyingi mtu hufuata kitu nje kile ambacho hakipo ndani!.. usikute ndio pesa ipo lkn pia sex performance haipo!.. nakumbusha Tena let's be gentleman.
Ndio kabisa...cha muhimu ni maridhiano tu kabla ya mambo yoyote
 
Atleast umeongea point ya msingi, labda cha kuongezea.

1.Kitu kimfurahichasho mwanamke leo sio kitu ambacho kitamfurahisha week ijayo. Utahisi kumpa mahela ya shopping avae nguo za gharama ndio umemuweza ila itafika stage atazoea hela so itakuwa sio big deal, utaanza kuambiwa hujali. Kutimiza mahitaji ya KE ni kipengele

2. Kitu anachokipendea kwako mwanamke sio kitu anachokipendea kwangu. Hii kwa kifupi inaitwa tamaa. Ni mtihani mgumu sana mwanamke kuishina tamaa wanaume tofauti.
Mkuu uko sahihi
 
Back
Top Bottom