MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
Ndugu zngu wana-JF poleni na majukumu na mihangaiko ya kila uchao!
KISA:
Naombeni ushauri wenu kwani kuna binti nilkutana naye kwenye usafiri tukakubaliana na kuingia kwenye uhusiano baada ya kunitengenezea mazngira ya kuwa nae yeye mwenyewe.
Ila cha kushangaza alinambia ananpenda sana lakini mpka sasa ana bwana mwngne ambaye ni mkaguzi wa mahesabuwa jijini fulani huwa yuko busy sana.Je, kwa hali hiyo kuna mapenzi apo kweli?
Tushauriane!