Jamaa mmoja ameoa kabila moja la mkoa wa kaskazini mwa TZ anampigia mkewe simu mambo yakawa hivi
Mume : Hello baby
Mke : Hello swity
Mume : Niachelewa kurudi leo
Mke : Nishajua uko na vijimwwanamke vyako, wewe ni mzinzi sanasijui ilikuwaje ukanioa ninakuchukia kama nini!!! sikupendi sikupendi.....
Mume : Niko benki hapa ....
Mke : Haaaa! ulijuaje kama sina hela, nitolee laki moja baby.. nakupenda kuliko roho yangu.. nakutengea maji ya kuoga.. swity .. usisahau kuninunulia na chips kuku.. mmwaaaaaa!!!
Mume : Ni BENKI YA KUCHANGIA DAMU
Mke : Nyooooooooooooo... waambie wakutoe yote....