Erotica
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,513
- 1,735
Ndio ninayo ishi Erotica. Ingekua sio ndoto zangu na strangers, ama kushtulia hapa na pale na
wadau wa hapa na pale ningeganda. Sababu ni mrembo na mzuri, nikiwa na maisha mazuri
ya hali ya juu ya watoto wa mujini basi nimezungukwa na marafiki wa mujini nao
wakiwa na maisha mazuri na hali za juu pia.
boyfie wangu ni wa mujini na wa hali ya top, viwanja vyetu ni vile vya watu wa maisha
mazuri na hali ya juu. Katika hicho kimduara cha ambao tunajuana inakuwa
wengi kila mtu ana wake. ukiachika na hio seko basi utapata mwengine ambae atakushusha
hadhi ama basi awenazo kweli kweli ili um upgrade. Boyfie kanicosha
anaboa, story zake pumba tupu, hana jipya! na washikaji zake wote humpongeza kwa point zake nzito
sababu ni mtoto wa kizito. anapesa ya kumlea hadi hata akifa huko tokana na familia aliyotoka.
mie nina pesa zangu nazifanyia kazi kwa jasho langu, familia yetu ina uwezo ila sio kama ya akina boyfie.
nina mipango nimepanga ya maisha yanayohusisha maendeleo kwa jamii, nina mpango wa kuwa
mwanaharakati na mwanamapinduzi. natamani kuachana nae, ila nashindwa, sabb nina adv nyingi napata,
kama free airline tickets popote ambapo ndege zinafika nchini, nabadilishiwa usafiri, sometimes naazima
hata za kwao ili kubadili. vitu navitaka! boyfie simtaki. yani ni full kufekisha.
na yeye nahisi hanitaki ila yuko na mimi kwa sabb anazojua yeye, naogopa hata kuzichokoa.
tukiwa tuna sex, yeye anafake na mimi nafake alafu wote tunapongezana. u wea great baby.
usha wahi ona mwanaume anafake orgarsim? basi nakupa wangu! mie namuongezea tu
napenda macho yako wen u come this way (u know wat I min). Anafuraaaahi anajua sijui. kalagabaho!!
no mwaaaaaah! Sipo kwenye mood. :sleepy: