yes hata me nipo sawa na afroduuu pole
definition- yangu ya masikini ni mtu ambaye hana miguu na mikono
au amekosa kiungo fulani cha mwili Je we ndo unamtafuta mtu wa namana hiyo ???
Da!!! Hakika JF pana utajiri wa majibu, utapata majibu ya ukweli, ya kufurahisha, ya kutia moyo, yenye kuhitaji ufafanuzi, yenye kukatisha tamaa,yenye kuliwaza,ya kitaalam zaid,ya kutumia uzoefu.....ukiwa uwanja wa JF no stress at all.......ASANTE WADAU WA JF.
Yani mimi napenda sana niolewe na maskini ili nimtunze mimi! Ukweli hakuna anachoweza kukosa kwangu na uzuri vyote ni haki na vya kupewa na Bwana. Sasa eti nimejaribu sana kutafuta maskini ila awe na sifa za kujiheshimu, mcha Mungu lakini sipati! Mama ameniambia eti watanitesa sana. Nisaidieni eti kweli watanitesa?
Dada maskini tu yaani hana kipato!Mi bado sijajua huyo maskini mnayemuongelea ni maskini wa namna gani.
Kiwete, tahira, mjinga au..........
AU kwakuwa kipato changu ni sh 500 cha kwako 1000 basi mi maskini.
Ni maskini wa aina gani huyu mnaemuongelea hapa????
Dada maskini tu yaani hana kipato!