kuna mwanamke humu nilimtongoza akanijibu utumbo eti sina hadhi ya kuwa na yeye, nimemfuatilia kama safar mbili bado majibu yake yakawa niyakejeli, nikaamua kumpotezea, siku moja kanikuta dukani kwangu akaanza kuchagua nguo, alivyooniona kwa aibu na kurembua akaniuliza eti kumbe kaka angu unaduka kubwa namna hii? nikamjibu kawaida tu dada! zikapita kama siku mbili bila kujua namba yangu kapata wapi, akanipigia simu, kaka mambo? nikasema powa, akaijieleza mambo mengi, mara ooh nilikuwa nakutania, mara nilikuwa nakupima kama unanipenda, mara eti nilikuwa nakufikiria sasa nimekupigia nikupe jibu, je nimkubalie labda wanawake ndivyo mlivyo?