Mapenzi bwana mkia wa paka

Mapenzi bwana mkia wa paka

Inakuaje umeanza mahusiano na mnawiki moja mwenzi wako anakwambia anataka mzigo je hapa kunamapenzi ya kweli au kufanya mapenzi ndo kigezo cha upendo wa dhati naombeni kujua wadau

wanaume wa izazi cha jk wanapenda kumega na sio kuwa na mapenzi ya dhati
 
sikuzijua hizo categories rafiki, mimi nilichukulia mdada ni mdada tu, ndo maana nikaku-alert.
haya basi wenye uzoefu wao wa kuchuna/kuchunwa/kupangwa foleni/......... watatuambia hayo

All women are the same yet each woman is different
 
usikurupuke, mm nijuavyo Mwanaume anayekupenda kwa Dhati haombi mzigo mapema . Mchunguze!!! kuwa makini mwanaume si nduguyako !!! Be care
 
Inakuaje umeanza mahusiano na mnawiki moja mwenzi wako anakwambia anataka mzigo je hapa kunamapenzi ya kweli au kufanya mapenzi ndo kigezo cha upendo wa dhati naombeni kujua wadau


Hakuna mapenzi ya kweli hapo,kimbia faster!!!!!!
 
FP ebu mwambie THE BOSS kuchunwa ,kuchuna ,inategemea na nyie wenyewe na mda haiwezekani mna siku kadhaa katika mahusiano umeisha anza kuchuna au kuchunwa inabidi ukimbie ni sawa na huyu ndani ya wiki anataka akuvue chupi bora kusepa mwenzangu
 
we KAKA JAMBAZI nikuulize swali unaonaga mkia wa paka unatulia nisawa na mapenzi ya sasa amini
 
Tatizo watu hudhani kufanya ngono ndio mapenzi na ukishafanya ndio utakuwa unamjua mpenzi wako kama unataka kuendelea nae au vipi,inawezekana kabisa mkawa katika mahusiano na mkasubiri kuwa tayari kwa tendo ila kwa mazingira ya siku hizi ni nadra sana,nasisitiza ni nadra sana kuona mwanamke anakataa kutoa chakula cha usiku kwa mwanaume kwani mapenzi yamekuwa na vishawishi vingi na hata wakati wa kutakana kumekuwa tofauti na zamani hivyo hupelekea watu kufanya ngono mapema,unategemea nini mwanamke unakubali kushikwa kila idara na huku nawe ukijishughulisha kupapasa huku na kule halafu eti unakuja kukataa mshoroboti ukiwa unataka kuingia ndani?
Kama ulitongozwa kingonongono basi utakuwa na mapenzi ya kingonongono hivyo akili kichwani mwako.
 
Back
Top Bottom