Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,370
- 2,715
- Thread starter
- #21
Nimeshaamua mkuu stak Presha MimiPole mkuu. Ila ukiamua unaweza. Ndoa sio sehemu ya kutesana.
Ya kufa mapema [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]
Nimeshaamua mkuu stak Presha MimiPole mkuu. Ila ukiamua unaweza. Ndoa sio sehemu ya kutesana.
Hahaaa. Pole sana aiseeMademu wanazingua tu, wanaweza
Kukuletea matatizo Kama si UTI
[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] Sijapoa bado, mademu wengine nuksi tu.Hahaaa. Pole sana aisee
Pole pole yatakwisha jisahaulishe tu ndio dawa hiyo. Ukisema kila kukicha unakumbuka utabaki na maumivu kila siku.[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] Sijapoa bado, mademu wengine nuksi tu.
Mie naongea Jf tu ,nikitoka hapaPole pole yatakwisha jisahaulishe tu ndio dawa hiyo. Ukisema kila kukicha unakumbuka utabaki na maumivu kila siku.
We jifunze kusahau.
Ahsante sana mkuu...mie ndio nimeachia ngazi baada ya kuona visa vimezidi.Pole sana mkuu umeachwa nini?
Kabisa mkuu Pain killer: Viumbe wazito.Bora kuishi kisela.... Utaenjoy sanaaa
Kimekukuta kipi mkuu?Mnaishi kama mke na mume ndani ya
Nyumba, mkianza kuchokana tu,
Basi kinanuka...Mara mmeachana kwa kashifa na dharau kibao, kwa kweli nyumba hizi zina mambo mengi sana,
Watu wanaishi kwa mazowea haswa
Waliobahatika kuzaa watoto wakubwa
Kuachana ni aibu..wanavumiliana Na
Wanaishi kimazowea ila wale wasiobahatika
Kupata watoto, wakichokana Tu
Au kikinuka Mara paaap wameachana
Ni hatari sana na kupotezeana muda Na
Wakati sometime bora uwe msela tu!!
Kabisa kiongozi wangu"Mchezo wa Mapenzi Kamari!" Lameck Ditto
Mhh!! Wala kusema nashindwa mkuu wangu, wee acha tu.Kimekukuta kipi mkuu?