DU! no commentAcheni masihara nyie, binti hata kama ni mzuri namna gani, lazima UGONGE kwanza ujue kuna nini KUNAKO! Kama hatak atambae tu. Mchumba wangu wa kwanza alikuwa MZURI, we acha tu, akawa analeta machejo pozi nyiingi hataki KUGONGWA mpaka kieleweke, nikamwambia kama sionji hamna ndoa wala ndoano! akakubali kutoa mchezo......kabinti cha watu ishu imegusa kichwa tu kelele balaa...! ilipozama kumbe bwawa lenyewe hata punda anaweza kupiga mbizi! marinda yote yalishafutwa kitambo!! WACHA nitoke baru nikaoe demu wangu wa shuleni!!! teh teh! Mpaka leo bado iko taiti! KUCHEKI UJAZO MUHIMU
Ukiona manyoya, ujue wameshakula!!!😀
Kuvumilia ni muhimu jamani nshwai kaa ten years kwenye mahusiano bila kumega.
Uyo binti aache uzushi unless kama yeye ni bikra but otherwise atoe tunda kwa mwenzie.
jamani kama kavumilia miaka yoteeeee hiyo anashindwa nn kuendelea kuvumialia?au alikuwa anapata faraja sehem nyingine?kijana mwambie aendelee kuvumilia tu kama yake yake tu haijarishi itachelewa mda gani,sasa kesha kula ng'ombe mzima anashindwa mkia?
inategemea na uhusiano gani uliokuwa nao.....na bado ulikuwa unajihudumia mahali so huyo wa ten ulikuwa unampa moyo tu kwamba unaweza........otherwic hii kitu haiwezekani kabisa, hao wa 3 yrs wenyewe kuna mahali kila mtu anajisadia kivyake.........
Shida ina kuja kiwango cha upendo kinapimwa na ngono, ukimpa unampenda at the same time u r too easy, ukimnyima (msubiri ndoa) humpendi same time hujui mapenzi, duh kazi kubwaNimesoma hii post nimegundua watu mnapenda ngono sana! I can wait my entire life for the marriage kabla sijamrukia mtu kwa uzinifu. vitabu takatifu vinataka tendo la ndoa baada ya kuowana.
Shida ina kuja kiwango cha upendo kinapimwa na ngono, ukimpa unampenda at the same time u r too easy, ukimnyima (msubiri ndoa) humpendi same time hujui mapenzi, duh kazi kubwa
Shida ina kuja kiwango cha upendo kinapimwa na ngono, ukimpa unampenda at the same time u r too easy, ukimnyima (msubiri ndoa) humpendi same time hujui mapenzi, duh kazi kubwa
..........Wapo wanaoweza kuvumilia kipindi cha uchumba kutofanya mapenzi lakini ni wachache sana kwa siku hizi.
Kuna mdada mmoja hivyo hivyo alipata mchumba mlokole mwenzake, yule dada akamtilia ngumu yule kaka kunanihiii naye hadi ndoa, akasema ni dhambi. Mkaka wa watu akawa anasubiri kweli hadi ndoa, kumbe yule mdada alikuwa na bwana mwingine wa kihindi wanakula uroda kama kawa.
Baada ya muda yule dada akafunga ndoa na huyu mlokole mwenzake, kumbe yule dada alikuwa tayari kanasa mimba ya muhindi. Wamekaa kama miezi miwili kwenye ndoa dada kitumbo kinajitokeza, mume anashangaa mwenzanke kapata wapi mimba!!!Kwenda kupima mimba ina miezi 5, ikabidi ndoa ife.
Hivyo huyo kaka awe makini, yeye atakuwa anasubiri kumbe mwenzake sio mwaminifu.
Hahaha! Mpwa umekonkludi kimtindo. Hivi kumfia mtu inakufanya uwe *****? Mi ndio maana huwa najiangaikia na mabaamedi wangu!
Pombe ndio mfariji wake eeeh,sasa mwambie kunapombe mpya kibao to come,ajiandae kuzitumikia kwa ufasaha!!Wajameni nina kaka yangu ana mchumba wake wana miaka mitatu sasa kila binti akiambiwa tuoane anadai mapema sana...baya ama zuri kakangu anasema kila siku amekuwa akililia tunda bila mafanikio mpaka akasema akipata mtoto lazima amwite tunda...sasa hivi amekata tamaa kabisa na mapenzi na kufikia kuhisi beer ni faraja ya mafanikio la hasha.....nikasema niulize je yawezekana kukaamiaka yote bila ku do......
Nawapongeza kwa hili na jua jf wako 100/100
Kwangu mimi huwa nilikuwa na shangaa kabla ya kufunga ndoa ukiingia n kabinti kanadai mi siwezi ntaumia lakini anaingia mpaka guest ndani,...sasa wewe si mchunaji kweli??
karibu utoe maoni yako
Acheni masihara nyie, binti hata kama ni mzuri namna gani, lazima UGONGE kwanza ujue kuna nini KUNAKO! Kama hatak atambae tu. Mchumba wangu wa kwanza alikuwa MZURI, we acha tu, akawa analeta machejo pozi nyiingi hataki KUGONGWA mpaka kieleweke, nikamwambia kama sionji hamna ndoa wala ndoano! akakubali kutoa mchezo......kabinti cha watu ishu imegusa kichwa tu kelele balaa...! ilipozama kumbe bwawa lenyewe hata punda anaweza kupiga mbizi! marinda yote yalishafutwa kitambo!! WACHA nitoke baru nikaoe demu wangu wa shuleni!!! teh teh! Mpaka leo bado iko taiti! KUCHEKI UJAZO MUHIMU[/QUOT
ahahahahahahahahaahahahahahaahahah ee subiri........
Wajameni nina kaka yangu ana mchumba wake wana miaka mitatu sasa kila binti akiambiwa tuoane anadai mapema sana...baya ama zuri kakangu anasema kila siku amekuwa akililia tunda bila mafanikio mpaka akasema akipata mtoto lazima amwite tunda...sasa hivi amekata tamaa kabisa na mapenzi na kufikia kuhisi beer ni faraja ya mafanikio la hasha.....nikasema niulize je yawezekana kukaamiaka yote bila ku do......
Nawapongeza kwa hili na jua jf wako 100/100
Kwangu mimi huwa nilikuwa na shangaa kabla ya kufunga ndoa ukiingia n kabinti kanadai mi siwezi ntaumia lakini anaingia mpaka guest ndani,...sasa wewe si mchunaji kweli??
karibu utoe maoni yako
Very interesting! I like that! Love is not all about sex!