afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,297
- 2,780
mikakati mingi tunayo wanaumeOkay nadhani mikakati ya kike ipo tofauti....
Ila naunga mkono hoja
mikakati mingi tunayo wanaumeOkay nadhani mikakati ya kike ipo tofauti....
Ila naunga mkono hoja
Mikakati yako kumi ni sawa na mkakati mmoja tu wa mwanamke, ukibisha ushauri ako.mikakati mingi tunayo wanaume
baaaaasi sibishi nakubali mikakatiMikakati yako kumi ni sawa na mkakati mmoja tu wa mwanamke, ukibisha ushauri ako.
kabla sijamaliza kuisoma moyoni nkajisemea huyu kama sio JOKAJEUSI...yani nahisi ndiye.,,,nkaamu ani scroll juu na kweli ni JOKA JEUSI sikukosea mawazo...saasa nikaona niandike kabisa halafu niendelee kusoma sasa
mwanamke anachohitaji ni furaha na si vinginevyo.ukiwa mjanja wa kumpatia furaha mkeo uta enjoy sana,kwa mfano mwanaume anamwambia mwanamke yani mama yangu tukifanikiwa kuuza korosho zetu ntakununulia hii mbingu unayoiona...afu utakuta mwanamke ana furahi na kumkumbatia mwanaume na huku akijua ni uongo.lkn furaha yake imetimia.
Kwahiyo mapenzi ni siasa mkuu