Mapenzi bila propaganda/mission yatakushinda

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Posts
6,332
Reaction score
10,913
Habari wakuu.

Somo muhimu sana.

Hapa nitajikita kwenye mapenzi ya wachumba wanaohitaji kufunga ndoa na wale waliomo ndoani.

Usiiishi kizembe katika ulimwengu huu. Lazima uwe mtu mjanja mwenye akili nyingi sana. Wanasiasa wanajua kuwa siasa bila propaganda na mission ni kama kisu butu tuu. Hata katika mapenzi propaganda na mission ni jambo muhimu sana kuliko kawaida. Hasa kwa tabaka la juu na hapa ni mwanaume. Mwanaume lazima awe mtu wa mikakati, mission impossible, na propaganda.

Twende kwa mifano; Ili mkeo/mchumba akupende na heshima yako isishuke zaidi sana istawi basi lazima uishi kwa mikakati na propaganda. Lazima utengeneze propaganda ambayo itakuwa kama tetesi kwa mkeo ambayo itamfanya mke wako azidi kukufatilia. Tengeneza mazingira ambayo mkeo atahisi kuwa huenda unachepuka lakini kumbe huchepuki. Tengeneza mazingira ya kuonyesha unapendwa na watu wengi hasa wanawake kumbe kiuhalisia hupendwi. Sio rahisi mwanaume anayependwa na kushobokewa na wanawake akaachwa na mke wake kirahisi.

Tengeneza propaganda mtaani kwako. Unaweza usiwe wewe ndiye mtoa propaganda ila vijiweni huko hakikisha jina lako linatrend kwenye ishu za kiuchumi na kimapenzi. Yaani utakuta kwa vile unamazoea na wanawake basi unashangaa unazushiwa kuwa unatoka na mwanamke fulani kumbe hata hujawahi kumtongoza zaidi ya mazoea.

Hata kama huna uchumi mkubwa lakini jitahidi ufikapo sehemu ukiwa na mke wako au mwenyewe ujiweke kama mtu mwenye uchumi mkubwa. Utasikia vijiweni vijana wakikuita Bossi, mheshimiwa, kiongozi. Kazi ndogo ndogo agiza vijana usichukue chenchi. Yaani mkeo akipita kitaa utasikia msalimie Boss shemeji. Wanawake wanapenda heshima na kuona familia yake inaheshimiwa.

Tengeneza uhasama indirect baina ya mke wako na baadhi ya wanawake hasa wa hadhi ya juu ili kuufanya wivu wake usipoe juu yako. Hii itamfanya kila mara awe attension na wewe. Wanawake wanapenda usumbufu wa hapa na pale. Hii itampelekea ajione kuwa naye ni mwanamke kati ya wanawake kwani mume wake naye anagombaniwa na wanawake wa nje wenye hadhi ya juu. Asijue kila kitu kimepangwa.

Mueleze mkeo kuwa unaproject kubwa nyingi sirini ambazo unapenda zikitiki ziifikishe familia sehemu fulani. Ila usimuonyeshe hata kama zipo. Hii itamfanya awe na matumaini makubwa na pia itamfanya aendelee kukung'ang'ania. Baada ya muda ukipita (miezi mitatu) unajifanya una mawazo akikuuliza unasema project imebuma vibaya mno. Na hapo atakupa pole ya project hewa. Lengo ni kuvuta attension yako kwako. Kila mara atake kujua ni project gani. Hivyo ukikaa utasikia mume wangu, niambie basi. Kwa sauti ya upole na mahaba unamjibu; usijali mke wangu, lazima nitakuambia wewe tena. NI attension tuu.

Mwanamke husikiliza propaganda kuliko uhalisia. Akisikia huko nje wewe ni joka la kibisa anaweza kuamini wakati kila siku unamkaza na anainjoi tuu. Tofauti na akisikia kuwa wanawake wengi wanakushobokea hata kama unapiga kabao kamoja chali, ataamini wewe ndio mwanaume mashine. Ukicheza na propaganda mkeo hawezi kukuchanganya.

Propaganda nzuri ni zile za kiuchumi, ambazo mtaani wanaamini unahela na huenda una miradi sehemu fulani kumbe huna kitu. Hata wanaogonga wake za watu hutumia mbinu hizi. Kimapenzi hakikisha mke wako anaamini kuwa wanawake wengine wanakutaka. Kumbe huna lolote.
Yote haya ni kwa propaganda tuu.

Joka Jeusi,
Kwa sasa ni mbangua Korosho baada ya kustaafu mambo ya mapenzi
 
Dah nimesoma mkuu huu uzi nimeuelewa vemaaaa ila kuna mahali nimecheka tu kiaina maana dah nimekumbuka mbali ya hizi janja janja nilizokua nazo awali ila kiukweli mkuu dhama hizi wanawake wana akili sana labda utumie hii kitu kwa wale wasiojielewa.... Ila hawa wa siku iz wapekenyuzi mpk watajua tu mambo yako na ole wako wajue unazingua kibuti konki kitakuhusu[emoji3]

mkuu kwa utawala wa jiwe propaganda iendane na hali halisi la sivyo utatoka patupu
 
Dah nimesoma mkuu huu uzi nimeuelewa vemaaaa ila kuna mahali nimecheka tu kiaina maana dah nimekumbuka mbali ya hizi janja janja nilizokua nazo awali ila kiukweli mkuu dhama hizi wanawake wana akili sana labda utumie hii kitu kwa wale wasiojielewa.... Ila hawa wa siku iz wapekenyuzi mpk watajua tu mambo yako na ole wako wajue unazingua kibuti konki kitakuhusu[emoji3]

Kupekenyua ni asili yao. Ndio maana walipekenyua mpaka tunda la kati. Usiogope wakijua kwani watakuwa wameshachelewa. Hapo ujanja unakuwa umewaisha. Wanaishia tuu Yaani wewe mmh
 
Nimekuelewa zaiiiiid mzee baba.
Ila propaganda hizo ziendane au zifanane na hali halisi.

Ni kuchonga tu mdomo mkuu. Hakikisha unajiweka nadhifu na mwenye kutoa hoja za kispesheli
 
Habari wakuu.

Somo muhimu sana.

Hapa nitajikita kwenye mapenzi ya wachumba wanaohitaji kufunga ndoa na wale waliomo ndoani.

Usiiishi kizembe katika ulimwengu huu. Lazima uwe mtu mjanja mwenye akili nyingi sana. Wanasiasa wanajua kuwa siasa bila propaganda na mission ni kama kisu butu tuu. Hata katika mapenzi propaganda na mission ni jambo muhimu sana kuliko kawaida. Hasa kwa tabaka la juu na hapa ni mwanaume. Mwanaume lazima awe mtu wa mikakati, mission impossible, na propaganda.

Twende kwa mifano; Ili mkeo/mchumba akupende na heshima yako isishuke zaidi sana istawi basi lazima uishi kwa mikakati na propaganda. Lazima utengeneze propaganda ambayo itakuwa kama tetesi kwa mkeo ambayo itamfanya mke wako azidi kukufatilia. Tengeneza mazingira ambayo mkeo atahisi kuwa huenda unachepuka lakini kumbe huchepuki. Tengeneza mazingira ya kuonyesha unapendwa na watu wengi hasa wanawake kumbe kiuhalisia hupendwi. Sio rahisi mwanaume anayependwa na kushobokewa na wanawake akaachwa na mke wake kirahisi.

Tengeneza propaganda mtaani kwako. Unaweza usiwe wewe ndiye mtoa propaganda ila vijiweni huko hakikisha jina lako linatrend kwenye ishu za kiuchumi na kimapenzi. Yaani utakuta kwa vile unamazoea na wanawake basi unashangaa unazushiwa kuwa unatoka na mwanamke fulani kumbe hata hujawahi kumtongoza zaidi ya mazoea.

Hata kama huna uchumi mkubwa lakini jitahidi ufikapo sehemu ukiwa na mke wako au mwenyewe ujiweke kama mtu mwenye uchumi mkubwa. Utasikia vijiweni vijana wakikuita Bossi, mheshimiwa, kiongozi. Kazi ndogo ndogo agiza vijana usichukue chenchi. Yaani mkeo akipita kitaa utasikia msalimie Boss shemeji. Wanawake wanapenda heshima na kuona familia yake inaheshimiwa.

Tengeneza uhasama indirect baina ya mke wako na baadhi ya wanawake hasa wa hadhi ya juu ili kuufanya wivu wake usipoe juu yako. Hii itamfanya kila mara awe attension na wewe. Wanawake wanapenda usumbufu wa hapa na pale. Hii itampelekea ajione kuwa naye ni mwanamke kati ya wanawake kwani mume wake naye anagombaniwa na wanawake wa nje wenye hadhi ya juu. Asijue kila kitu kimepangwa.

Mueleze mkeo kuwa unaproject kubwa nyingi sirini ambazo unapenda zikitiki ziifikishe familia sehemu fulani. Ila usimuonyeshe hata kama zipo. Hii itamfanya awe na matumaini makubwa na pia itamfanya aendelee kukung'ang'ania. Baada ya muda ukipita (miezi mitatu) unajifanya una mawazo akikuuliza unasema project imebuma vibaya mno. Na hapo atakupa pole ya project hewa. Lengo ni kuvuta attension yako kwako. Kila mara atake kujua ni project gani. Hivyo ukikaa utasikia mume wangu, niambie basi. Kwa sauti ya upole na mahaba unamjibu; usijali mke wangu, lazima nitakuambia wewe tena. NI attension tuu.

Mwanamke husikiliza propaganda kuliko uhalisia. Akisikia huko nje wewe ni joka la kibisa anaweza kuamini wakati kila siku unamkaza na anainjoi tuu. Tofauti na akisikia kuwa wanawake wengi wanakushobokea hata kama unapiga kabao kamoja chali, ataamini wewe ndio mwanaume mashine. Ukicheza na propaganda mkeo hawezi kukuchanganya.

Propaganda nzuri ni zile za kiuchumi, ambazo mtaani wanaamini unahela na huenda una miradi sehemu fulani kumbe huna kitu. Hata wanaogonga wake za watu hutumia mbinu hizi. Kimapenzi hakikisha mke wako anaamini kuwa wanawake wengine wanakutaka. Kumbe huna lolote.
Yote haya ni kwa propaganda tuu.

Joka Jeusi,
Kwa sasa ni mbangua Korosho baada ya kustaafu mambo ya mapenzi
Naanza leo..!
 
Okay nadhani mikakati ya kike ipo tofauti....
Ila naunga mkono hoja

Wanawake mikakati yenu si lelemama. Mnajua kupanga mission impossible. Wanaume kama joka tunajua umuhimu wa kuwatumia nyie katika mission ngumu za kuushangaza ulimwengu. Then after mission accomplish tunakata kichwa
 
kabla sijamaliza kuisoma moyoni nkajisemea huyu kama sio JOKAJEUSI...yani nahisi ndiye.,,,nkaamu ani scroll juu na kweli ni JOKA JEUSI sikukosea mawazo...saasa nikaona niandike kabisa halafu niendelee kusoma sasa
 
Back
Top Bottom