Pesa inahitajika sana tena sio pesa kidogo iwe nyingi tu kama una demu ambae hana kazi
Tujitahid kutafuta wapenz (Wanawake) wenye vishughuli vinavyoweza kumuingizia hata buku 5 kwa siku
Alafu utamkuta mitandaoni anaponda wadada wanaojiuza kumbe hata yeye anajiuza kwa style tofauti. mimi binafsi ndio maana hupendelea kwenda straight kwenye point kwa kuuliza bei ya kuwa nae kwa usiku mmoja ama masaa kadhaa, baada ya hapo sihitaji mambo ya kuchat chat tena na kuulizana umekula nini, Dunia uwanja wa Fujo
Ukiona demu anatanguliza pesa, usipompa pesa ananuna au analeta sababu zisizo za msingi stuka ujue unachapiwa na masela huyo. Demu wa dizaini hiyo kuchapwa ni rahisi sana.
Piga chini.
Sijui kwa Nini nimesikia huzuni,nikikumbuka yule mpenzi A ambavyo namuonea,ni mabomu tuu,wakati mpenzi B yaani hata natamanigi nimnunulie mwezi nimpe ,sitaki hata kumi yake🙄🙄🙄
Ukichunguza vizuri malalamiko ya sisi wanaume humu jf, ni sio kuwa hatupendi mtuombe hela, bali kuomba kwenu hela kunaambatana na ninyi kutokua na hisia na sisi, hivyo wanaume tunajihisi tunatapeliwa Joannah