Mapenzi basii

Mkuu ubahili ni wa kwajili ya watu wa makete tu,

Hata hao malupita atakudai hela ya wigs...bado hujakimbia

WIGI!??? gademu heri nikupe laki kila wiki uende saluni kuliko uniombe hela ya wigi aisee...daaah!!!! WIGI KABISA???
 
WIGI!??? gademu heri nikupe laki kila wiki uende saluni kuliko uniombe hela ya wigi aisee...daaah!!!! WIGI KABISA???
kwani wigi unalionaje/unalichukuliaje mkuu?
 
mapenzi ya sasa yamebaki kwenye pesa imefika hatua wakina dada wanazua misemo yao
1.mjini msingi kiuno
2.hapendwi mtu linapendwa poch
3.km poch yako imetuna utapendwa ila km imekonda utishia kuwaita shemeji
4.kwan nakubeba mgongoni hapa pesa yako tuu
5.mke bora ndiye anyetoka kwa bwana ila mume bora ni yule anyetoka bank/atm
n.k.... je tutafika kwa staili hii ya kuwafanya mahusbands as a ATM MACHINE?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…