Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
ha ha ha mhurumie mwenzio mshahara wake wote unaishia kwako!!!
as long as hatuwashikii bunduki tutaomba tuuuuuNanyie mpunguze kuomba mmekuwa kama wakoma!!
Au wale machokora wa stand akikusalimia tu anakuomba pesa, shikamoo naomba hela...Lol!
Aisee!! Kwani hana kazi??
daah nilikua sifahamu...
haya bana..
heeeee....aaah hapo sikubali,huo ni ubahili sasa....30 elf ya saluni ushindwe utaweza kunipa hela ya kula sasa?
yes he has............. did you consider my application!!!!!!!
pesa ndo mapenzi yenyewe, mambo ya kuitana baby achia kina Angelo....
!
!
kuna ukaribu mkubwa mno kati ya mapenzi ya kweli na pesa
heeeee....aaah hapo sikubali,huo ni ubahili sasa....30 elf ya saluni ushindwe utaweza kunipa hela ya kula sasa?
Pesa inaongeaza furaha kwenye mapenzi, yani mtu ukiwa huna hela hata kupata nyege inakuwa shida...
!
!
nyege na njaa wapi na wapi?......
as long as hatuwashikii bunduki tutaomba tuuuuu
Shikamooo naomba hela...
Hata wale omba omba huwa hawashiki bunduki.!
Mkuu ubahili ni wa kwajili ya watu wa makete tu,Hahaha nimegundua nitaanza kutafuta kina Lupita nyong'o saivi...
Mkuu ubahili ni wa kwajili ya watu wa makete tu,
Hata hao malupita atakudai hela ya wigs...bado hujakimbia