mwananthropolojia
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 956
- 658
Kwani we mwanangu??
Mie huwa nachapa watoto wangu tu!
kwaiyo hucharaz mababu weye?mmh mbona tunaliaga sasa tukiwa kule faragha
Kwani we mwanangu??
Mie huwa nachapa watoto wangu tu!
kwaiyo hucharaz mababu weye?mmh mbona tunaliaga sasa tukiwa kule faragha
Kwani huwa mnachapwa na fimbo??
Pole sana ila naomba utoe mrejesho its been 10 years nowHabari zenu wana mmu? kilichonifanya adi niseme maneno haya ni maumivu makali nnayoyckia moyoni mwangu, nlikua kwenye mahusiano na kijana ambae nilimpenda sana kupita chochote duniani pamoja na mengi aliyonifanyia niliyavumila na kila cku nlikua nikiamini ipo cku atakuja kujua ni kiasi gani nampenda na thamani nnayompa maishani mwangu lakini kumbe ilikua ni kutwanga maji kwenye kinu badala yake niliambulia ma2si,dharau na manyanyaso ya kila aina ila kwa jinsi nilivyo kichwa ngumu bado nlijipa moyo ipo siku atabadilika. Ila kubwa kuliko ni hii nimekuja ana wanawake kila kona ya mtaa na mmoja wao ana mimba kubwa ya kujifungua na hana analomjali kwa lolote na nlipomuuliza cna nlichoambulia zaidi ya majibu ya karaha.Roho inaniuma adi natamani nipotee katika ulimwengu huu napitia kipindi kigumu sana katika maisha yangu mwenzenu cjawai kuwaza kama mapenzi yanauma kiasi iki. nachomshukuru mungu nimepima na kugundua nipo sawa namuomba mungu 2 nieze kumsahau kwani naona kila cku znzvyozidi kwenda maumivu ndo yanazidi wala cpati haueni!
What a marvelous advice.When we think we have been hurt by someone in the past, we build up defenses to protect ourselves from being hurt in the future. So the fearful past causes a fearful future and the past and future become one. We cannot love when we feel fear.... When we release the fearful past and forgive everyone, we will experience total love and oneness with all.
Pole sana mkuu,ila mshukuru Mungu sana hujafika mbali na huyo mtu,ungeumia zaidi ungekuwa na mimba yake au mtoto wake,lkn kwa kuwa hujazaa naye,shykuru Mungu,jaribu kufuata kila kitu chake hii itakurahisishia kumsahau mapema.Habari zenu wana mmu? kilichonifanya adi niseme maneno haya ni maumivu makali nnayoyckia moyoni mwangu, nlikua kwenye mahusiano na kijana ambae nilimpenda sana kupita chochote duniani pamoja na mengi aliyonifanyia niliyavumila na kila cku nlikua nikiamini ipo cku atakuja kujua ni kiasi gani nampenda na thamani nnayompa maishani mwangu lakini kumbe ilikua ni kutwanga maji kwenye kinu badala yake niliambulia ma2si,dharau na manyanyaso ya kila aina ila kwa jinsi nilivyo kichwa ngumu bado nlijipa moyo ipo siku atabadilika. Ila kubwa kuliko ni hii nimekuja ana wanawake kila kona ya mtaa na mmoja wao ana mimba kubwa ya kujifungua na hana analomjali kwa lolote na nlipomuuliza cna nlichoambulia zaidi ya majibu ya karaha.Roho inaniuma adi natamani nipotee katika ulimwengu huu napitia kipindi kigumu sana katika maisha yangu mwenzenu cjawai kuwaza kama mapenzi yanauma kiasi iki. nachomshukuru mungu nimepima na kugundua nipo sawa namuomba mungu 2 nieze kumsahau kwani naona kila cku znzvyozidi kwenda maumivu ndo yanazidi wala cpati haueni!
post ya 2013 mkuuPole sana mkuu,ila mshukuru Mungu sana hujafika mbali na huyo mtu,ungeumia zaidi ungekuwa na mimba yake au mtoto wake,lkn kwa kuwa hujazaa naye,shykuru Mungu,jaribu kufuata kila kitu chake hii itakurahisishia kumsahau mapema.
Heee kumbe,basi mi ntakuwa mgeni humu ndani[emoji1]post ya 2013 mkuu
Mwenye uzi ni mama kwa sasa , ni miaka kumi iliyopita !!!Heee kumbe,basi mi ntakuwa mgeni humu ndani[emoji1]
Sema Uzi ndo nimeuona saivi mkuu,sikuangalia uliandikwa mwaka ganiMwenye uzi ni mama kwa sasa , ni miaka kumi iliyopita !!!
🤣🤣 ukajikunja kweli ukamwaga na ushauri mkuu, usiwaze atasoma mwingine itamsaidiaSema Uzi ndo nimeuona saivi mkuu,sikuangalia uliandikwa mwaka gani
Yaani,nikajikakamua na kinge changu Cha kuombea maji kumbe Uzi wa miaka kumi iliyopita[emoji1][emoji1787][emoji1787] ukajikunja kweli ukamwaga na ushauri mkuu, usiwaze atasoma mwingine itamsaidia
dah ila wewe kiboko....yaani nimeona ume like kila comment kwenye huu uzi....😂kasoro ya kwako tu🤔Walau naona watu wa zamani walikua na ushauri mzuri...ila sio vijana wa sikuizi,, mtu akisema anawaza kujiua wanamuuliza kama kamba anayo😃😃
Naona zamani kitufye cha kulike hakikuwepo, nimewasaidia😂😂😃🤭dah ila wewe kiboko....yaani nimeona ume like kila comment kwenye huu uzi....😂kasoro ya kwako tu🤔
😂😂😂haya bhana ubarikiwe sanaNaona zamani kitufye cha kulike hakikuwepo, nimewasaidia😂😂😃🤭
Amen😂😂🤭😂😂😂haya bhana ubarikiwe sana