Mapenzi basi

Mapenzi basi

::
Si vema kuona kuwa wanaume wote watakuwa kama huyo.

::
Unahitaji yafuatayo
1 Mapumziko ya hisia
2 Kujua unaendana nae kimapenzi kabla hujazama kwake (naweza kukusaidia kwa hili ukipenda.)
3.Tofautisha maisha kuwa una haki ya kupendwa na utapata furaha ya chozi ulilopoteza
=

Asante ndugu
 
Hapo mwisho umenena vema ya kwamba umepima na umekuta uko salama shukuru Mungu wako hata kwa kukuwezesha kuvunja hayo mahusiano, ila kusema kwamba mapenzi wewe basi huo ni uongo wa mchana kweupe nadhani baada ya mwezi huu kuisha utakubaliana na mimi na huenda utakuwa tayari na mahusiano ya kimapenzi na mtu mwingine.

asante kwa ushaur ila kwa swala l mahucano hapana kwa kweli nahisi itachukua mda sana!
 
Habari zenu wana mmu? kilichonifanya adi niseme maneno haya ni maumivu makali nnayoyckia moyoni mwangu, nlikua kwenye mahusiano na kijana ambae nilimpenda sana kupita chochote duniani pamoja na mengi aliyonifanyia niliyavumila na kila cku nlikua nikiamini ipo cku atakuja kujua ni kiasi gani nampenda na thamani nnayompa maishani mwangu lakini kumbe ilikua ni kutwanga maji kwenye kinu badala yake niliambulia ma2si,dharau na manyanyaso ya kila aina ila kwa jinsi nilivyo kichwa ngumu bado nlijipa moyo ipo siku atabadilika. Ila kubwa kuliko ni hii nimekuja ana wanawake kila kona ya mtaa na mmoja wao ana mimba kubwa ya kujifungua na hana analomjali kwa lolote na nlipomuuliza cna nlichoambulia zaidi ya majibu ya karaha.Roho inaniuma adi natamani nipotee katika ulimwengu huu napitia kipindi kigumu sana katika maisha yangu mwenzenu cjawai kuwaza kama mapenzi yanauma kiasi iki. nachomshukuru mungu nimepima na kugundua nipo sawa namuomba mungu 2 nieze kumsahau kwani naona kila cku znzvyozidi kwenda maumivu ndo yanazidi wala cpati haueni!
mtafute mwananthropolojia atakusaidia umsahau huyu jamaa.
 
Last edited by a moderator:
Uachege kulia lia mtoto wa kike.

Dunia hii ukiwa mnyonge utanyongeka haswaaa i.e utateseka sana ukiacha hizo hisia zikutawale!!

Kubali matokeo, chapa lapa kiroho safiiiiiiii . . . hilo nalo liache lipite!
 
“When we think we have been hurt by someone in the past, we build up defenses to protect ourselves from being hurt in the future. So the fearful past causes a fearful future and the past and future become one. We cannot love when we feel fear.... When we release the fearful past and forgive everyone, we will experience total love and oneness with all.”

natumia cmu ningekugongea like..! Umeandika kitu logical..!
 
asante kwa ushaur ila kwa swala l mahucano hapana kwa kweli nahisi itachukua mda sana!

Mimi sijakataa kwamba haitachukua muda, hata wiki ni muda, mwezi nao ni muda, na miezi,mwaka pia, ila mimi nimekataa pale unaposema mapenzi wewe basi, ili hali ulishayashiriki, unajua utamu wake, mwili ulishajenga hisia, viungo vyako (uke) ulishajenga hisia ya kuingiliwa na kiungo kingine (uume) hakika ndio maana nilikuambia kuwa huo ni uongo wa mchana kweupe.

Ni kweli kabisa ukiachana na mpenzi wako lazima utulie kwanza jipe muda wa kutosha kabla ya kuruhusu maahusiano mengine kuchukua nafasi, maana bila hivyo unaweza kujikuta unapata maumivu mengine tena na huenda mabaya zaidi.

Ongeza umakini kwanza kabla ya kufanya uchaguzi sahihi kwa ajili ya mpenzi mpya ama mchumba.
Nikutakie kila la heri katika mtihani huo, lakini mkumbuke Mungu wako na utimize mapenzi yake daima katika maisha yako ya ujana, anahihitaji umtumikie.

Soma pia maneno yaliyopo kwenye signature yangu hapo ya msaada pia kimaisha
 
tatzo huwa mnapenda body personality pesa hamuangalii wat watakaowapa faraja ya milele me ngoja mkome maana sis wanaume wafupi hamtutaki mnakomaa na hao ambao wanawasumbua shaur yako
 
pole xana sister, kama we ni mkirstu soma "2 kor.1:3, Mt. 6:19-34, 1 kor.13...., ebr.13:5. vitakusaidia
 
“When we think we have been hurt by someone in the past, we build up defenses to protect ourselves from being hurt in the future. So the fearful past causes a fearful future and the past and future become one. We cannot love when we feel fear.... When we release the fearful past and forgive everyone, we will experience total love and oneness with all.”


Aiseeeee! It don't get better than this. Ushauri mzuri sana huu wakuzingatia
 
Habari zenu wana mmu? kilichonifanya adi niseme maneno haya ni maumivu makali nnayoyckia moyoni mwangu, nlikua kwenye mahusiano na kijana ambae nilimpenda sana kupita chochote duniani pamoja na mengi aliyonifanyia niliyavumila na kila cku nlikua nikiamini ipo cku atakuja kujua ni kiasi gani nampenda na thamani nnayompa maishani mwangu lakini kumbe ilikua ni kutwanga maji kwenye kinu badala yake niliambulia ma2si,dharau na manyanyaso ya kila aina ila kwa jinsi nilivyo kichwa ngumu bado nlijipa moyo ipo siku atabadilika. Ila kubwa kuliko ni hii nimekuja ana wanawake kila kona ya mtaa na mmoja wao ana mimba kubwa ya kujifungua na hana analomjali kwa lolote na nlipomuuliza cna nlichoambulia zaidi ya majibu ya karaha.Roho inaniuma adi natamani nipotee katika ulimwengu huu napitia kipindi kigumu sana katika maisha yangu mwenzenu cjawai kuwaza kama mapenzi yanauma kiasi iki. nachomshukuru mungu nimepima na kugundua nipo sawa namuomba mungu 2 nieze kumsahau kwani naona kila cku znzvyozidi kwenda maumivu ndo yanazidi wala cpati haueni!

pole sana naa situation yako haipishani sana na yangu,unaweza kumpenda mtu sana lakini yeye akakuona zombie lake,anaamua kufanya anavyotaka akijua huwez kumfanya lolote na wakati huo mwenyewe anahisi hahitaji penzi lako kwa sana.
kwani kila ukikutana nae unampa moyo wako wote halaf unajipendekeza kwake mpaka anajiona yeye mtwana kwako na sio mpenz tena.
nakushauri achana nae uendelee na maisha kama mimi! ingawa bado sijafanikiwa kumpata ninayemtaka ila nimekuja kugundua mda haunisubir na huyo ninayemngangania hisia zake zishabadilika kwangu, badala ya kuniona kama mpenz ananiona zombie tu.na status ya mapenz ikishashuka akilin mwa mtu kuipandisha ni kazi .
 
Last edited by a moderator:
Uachege kulia lia mtoto wa kike.

Dunia hii ukiwa mnyonge utanyongeka haswaaa i.e utateseka sana ukiacha hizo hisia zikutawale!!

Kubali matokeo, chapa lapa kiroho safiiiiiiii . . . hilo nalo liache lipite!

halaf wewe nakutafta bana,mpk leo faragha hupatikan?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom