BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,930
Money money money
Mkuu mimi badi majibu sina. Mimi najua vyote tunakutana navyo baada ya kuzaliwa!Mkuu mpk nmetoa ilo jibu cjakurupuka... Uwa ni mara chache sn nakurupuka kujibu, sawa?
Kuhusu sex I'm perfect fine of it, utajir tyar nmezaliwa nao.... aswa kna lipi la kuchagua waqt vyte vpo?
Au ww k1 umekosa? I wonder if that's you are
Hahaha ASA mapenzi ya nn na akati kuna dildoMuhanga wa nyeto wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
Basi dildo zitahusikaPunyeto?!
Nkishapata ela kila kitu kitakuja, nkitaka mtoto natafuta mtu anapiga mashineMkuu unafanya masihara, hutaki kuwa na familia?
Hilo ndo jibu mkuuYaani mimi nashangaaa sana hili swali kwa sababu halina mashiko kabisa. Kwa sababu ukishakuwa na hela namaanisha hela sio vithumuni utafanya mapenzi safi na matamu kadiri upendavyo. Nina maana utawapata celebrities wanaoshobokea hela. Utawapata wanafunzi wa vyuo utapata wake za watu utapata wanawake décent na wote kwa nafasi zao watakuwa wanakusifia sana kwa mengi kama sio yote. Uvaaji mzuri. Unachoice nzuri ya vitu. Unajua vitu na hata sometimes utaonekana handsome kumbe hela inawezesha vyote hivyo. Umasikini ni laana mbaya na ni ugonjwa mbaya kuliko ukimwi au kansa na kisukari cause huwezi kufanya mapenzi wakati unamadeni au hata hela ya kuwapeleka hotel majanga. Mwanamke usimpompa zawadi za mfululizo anaona humjali. Wewe una appointment na demu unaanza kupanda daladala mwenzako anachagua SUV gani leo inaendana na nguo za leo either range au discovery au ML kesho mara na benz mara bmw shopping dubai au hongkong mara paris wewe kila siku kutoa excuses tu na kuota ipo siku ipo siku
Shenzi kabisa kabisa kabisa kwa sisi wanaume hela ni mungu wa pili hapa duniani. Cheki mzee mengi ana miaka 83 na mtoto mtamuuu na bado akitoa ruhusa watapanga foleni wakati kijana rijali mdogo anajiua kisa katendwa na demu cause ya njaa zake then anatafutiwa visababu. Mtu asijaribu kufananisha hela na chochote
Bila demu nani angepiga pamba[emoji445]Money money money
Atapatikana tu,Bila demu nani angepiga pamba[emoji445]
Nashukuru tupo pamojaHilo ndo jibu mkuu