Mapenz haya

Mapenz haya

jdkisiwa

Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
14
Reaction score
6
Mpenzi wako anakwambia wewe ndo
ua pekee kwenye
bustani yake unatabasamu kwa furaha
unaona wewe ndo
wewe. Hivi bustani gani ina ua moja
tu?!
 
Bustani ya mapenzi ndio ina ua moja...mengine yaliyobaki ni magugu!
 
Lazima uwe unajua fasihi ili kumudu utumizi wa lugha, vinginevyo kila kitu kwako itakuwa utata kama hivyo.
 
Back
Top Bottom