Mapenz buana

Naskia ni mtu na shosti wake. Sasa mtu ni nani, shost nan mie sijui.. Nawe sikia km nilivyosikia mimi

Heeeeeeh, globalization at its best...wazungu wametuletea balaaaah...yaani tukiwasema tu hawa vijana, hatupati misaada...
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] . sasa hapo nani ni K na M?
 
Hizi tabia za hawa wanamuziki ndo maana hatununui kazi zao zaidi ya kuzipakua tu mtandaoni maana wakipata pesa wanazichezea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…