Mapendekezo ya Zitto balaa

Mapendekezo ya Zitto balaa

Hakuna haja ya kukisia mambo wakati ukweli uko tayari, wacha tusubiri ingawa wamekata umeme ila ukweli haujifichi.
 
Hakuna haja ya kukisia mambo wakati ukweli uko tayari, wacha tusubiri ingawa wamekata umeme ila ukweli haujifichi.
#
negative thought kama wamekata ni mitaa yenu tu kwa ajili ya matengenezo,wengine macho yote kwenye tv kuona watu wanaumbuka leo
 
Jinsi ulivyoandika ni kama shule hamna kabisa. Hakuna mvuto ila kwa sababu bunge ndiyo limeanza ni suala la subira tu.
 
Katika kile kinachoonesha kama kupanic na hofu kwa ripoti ya CAG baada ya kuonesha kuwa hakuna kasoro katika mchakato wa utoaji wa fedha za escrow, Mwenyekiti wa kamati ya PAC ameibuka na kutoa mapendekezo yafuatayo

1.PM KUJIUDHURU KWA KUSHINDWA USIMAMIZI

2.AG AMESAMEHE VAT

3.PROF AJIUZURU KWA KUMLETA RUGEMALIRA

4.MASELE AJIUZURU KWA KUMSHAMBULIA BALOZI.

Katika mapendekezo yake hapo juu Zitto ameonyesha kuweweseka na kile ripoti ya CAG kimebaini kuhusu mchakato wa utoaji fedha za escrow ambazo inasemekana ni malipo halali ya IPTL

Pole sana, malipo halali kwa iptl? Wangehangaikà kuzuia mjadala?
 
Unaonesha Una upeo mdogo Sana halafu hujui hata kuzusha unaposema " AG AMESAMEHE VAT" hili Ni aina gani ya pendekezo alilolitoa bwana Zitto. Nenda kajipange urudi tena
 
Pole sana, malipo halali kwa iptl? Wangehangaikà kuzuia mjadala?
nani kauzuia mjadala kwan? hao wenyewe ndo wanatengeneza mazingira ya kutaka kupiga pesa wakati ripot inaonyesha wazi kwamba ni nyeupe?
 
hamna panic hapa!kitaeleweka tuu, hata kama ripoti haina kitu!tutakitengeneza kinacholingana na ukweli halisi
 
Katika kile kinachoonesha kama kupanic na hofu kwa ripoti ya CAG baada ya kuonesha kuwa hakuna kasoro katika mchakato wa utoaji wa fedha za escrow, Mwenyekiti wa kamati ya PAC ameibuka na kutoa mapendekezo yafuatayo

1.PM KUJIUDHURU KWA KUSHINDWA USIMAMIZI

2.AG AMESAMEHE VAT

3.PROF AJIUZURU KWA KUMLETA RUGEMALIRA

4.MASELE AJIUZURU KWA KUMSHAMBULIA BALOZI.

Katika mapendekezo yake hapo juu Zitto ameonyesha kuweweseka na kile ripoti ya CAG kimebaini kuhusu mchakato wa utoaji fedha za escrow ambazo inasemekana ni malipo halali ya IPTL
We we ni ndugu Wa Lyatonga Mrema mini! Ndio ana kichwa kibovu kama chako.
 
hamna panic hapa!kitaeleweka tuu, hata kama ripoti haina kitu!tutakitengeneza kinacholingana na ukweli halisi
 
Kumbe gazeti lenyewe ni hili la kichaga!
 
Unaonesha Una upeo mdogo Sana halafu hujui hata kuzusha unaposema " AG AMESAMEHE VAT" hili Ni aina gani ya pendekezo alilolitoa bwana Zitto. Nenda kajipange urudi tena
kweli wewe ndo ujamuelewa zito au wewe ndo upeo wako mdogo maana zito kasema AG AMESAMEHE VAT maana yake AG hawajibishe ndo maana ya zito sasa wewe unakurupuka tu na kutoka na povu
 
Kipi kimfanye apanic wanaume wamekesha kulinda ripoti original isiibiwe na majambazi ya ccm wewe unaleta ngonjera hapa. Tulia acha mbwembwe
wale waongo tu kina zito wanatafuta kiki za kisiasa tu lipot ya CAG ipo wazi kabisa labda zito kakesha kulinda ripot yake binafsi na sio lipot ya CAG
 
wewe ulitaka aseme mzee wa tezi aachie ngazi? Wanaotakiwa kuwajibika ni pinda na genge lake na pesa zirudi. Ningefurahi kama serikali ingevunja mkataba na iptl mara moja.

kwa taarifa yako hakuna mkataba utakaovunjwa,uvunjwe kwa kulipwa pesa wanazostahili?,muwashukuru sana iptl kwa uvmilivu wao maana symbion hawavumilii huu upuuzi hata tunavyoongea wana mwezi wa tatu wamezima mitambo yao mpaka watakapolipwa madeni yao
 
kweli wewe ndo ujamuelewa zito au wewe ndo upeo wako mdogo maana zito kasema ag amesamehe vat maana yake ag hawajibishe ndo maana ya zito sasa wewe unakurupuka tu na kutoka na povu

povu linakutoka wewe tena kwenye shimo dogo, na bado
 
Back
Top Bottom