Mapendekezo ya uteuzi wa ubunge wa Viti maalum CHADEMA/UKAWA

Ni msanii mkubwa tena mwenye jina lakini aliamua kuheshimu sauti ya moyo wake kufuata kile anachokipenda nakukiamini. Hakujiuza kama wenzake. Hakufuata mkumbo kama wenzake.

Ni msanii pekee mwenye jina aliyeamua kubaki na Lowassa.

Anastahili kufikiriwa viti maalum..

Mnataka vi.ch.e.che nao wawe wabunge?


(
 
Haki yake jamani ikitokea hiyo nafasi ,watu wenye msimamo kama huyu Dada nadhani hata kwenye maamuzi pia ni wazuri sana.Hongera zake.
 
Last edited by a moderator:
Maajabu Ya dunia baada Ya chama kupoteza mvuto leo hii wema sepetu na Steve nyerere ndio wame kipa ushindi duhhh kweli TZ bongo movies bongo lala
 
Maajabu Ya dunia baada Ya chama kupoteza mvuto leo hii wema sepetu na Steve nyerere ndio wame kipa ushindi duhhh kweli TZ bongo movies bongo lala

Wamekipa ushindi gani mkuu?Wale walikuwa wanambwelambwela majukwaani tu.
Uliza wanaojua kilichokuwa kikifanyika Mlimani City.
 
Jamani asisahaulike huyu dada... na pia asisahaulike dada GRACE MBOKA,Mdada huyu ni mpambanaji hatari ... aligombea jimbo la mbarali akashindwa kura za maoni lakini hakukata tamaa ameeendelea kuandamana na makamanda majimboni kuwasaidia akina lissu and co ...
 
Habari wadau..

Huyu dada ni jembe sana na kamanda wa CHADEMA muda mrefu..

Kama alivyokuwa mume wake Kafulila umuhimu wake bungeni nae amekosa jimbo la Iramba Singida.

Ni bora CHADEMA wakampa viti maalum ili akalizibe pengo la mumewe bungeni.
Sijui kama mnaandika kwa kutoelewa au mnafanya makusudi. Viti maalumu wanapendekezwa mapema na kwa utaratibu uliokwisha fanyika. Kama mtakumbuka uchaguzi au kura za maoni zilifanyika kabla ya kuanza kampeni na wapendekezwaji maiina yao yakawasilishwa NEC. Sasa haya mapendekezo yenu sijui yatatekelezwaje?
 
Sidhani kama ninahitaji kutoa maelezo kwa nini apewe.

Natarajia CHADEMA watampatia haki yake kutokana na mchango wake mkubwa kwenye uhamasishaji wa kura za Rais ambazo ndizo zinazokipa chama haki ya kupata wabunge wa viti maalum.
 
Na Jacqueline Wolper.

Msanii pekee mwenye jina aliyeamua kusimamia anachokiamini nakukipenda
 
napendekeza nifah apewe ubunge vitimaalum ili hoja zake za kibavicha akazitoe huko....
 
Last edited by a moderator:
Naunga mkono sana! Amefanya hujuma mbaya sana! Hata kwenye Chama asipewe nafasi ya uongozi wowote! Hakutaka kuwasikiliza Viongozi wake.
Viongozi wa chadema segerea ndio wahujumu..kwa nini walisaini fomu za Anatropia?
 
Back
Top Bottom