Mapendekezo ya Tume ya Uchaguzi kwa Tume ya Katiba

Luthertz

JF-Expert Member
Mar 7, 2018
206
830
Wakati Tume ya Katiba ya judge Warioba ikikusanya maoni ya wadau mbalimbali nchini, Tume ya Uchaguzi iliweka wazi kwamba haipo huru na ikashauri ipewe uhuru wake ili iweze kutekeleza majukumu yake kwa uhuru na kuweza endesha chaguzi ambazo zitakuwa free, fair and credible.

Rasimu ya katiba mpya was bastardized by CCM. Cha ajabu leo, mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi anasema kwamba tume ipo huru.!tende na harua vina haribu nchi yetu.
 
tanzania ndiyo nchi pekee viongozi wake wengi hawaishi katika kweli iliyo dhabiti, ukimsikiliza msomi kabla ya kupewa madaraka utasema huyu ndiye subiri apewe madaraka sasa utashangaa anavyobadilika katika misimamo na katika alichokuwa anaamini lakini pia akistafu au kustafishwa utamshangaa kwa mara nyingine tena. hebu mwangalie polepole wa katiba mpya na polepole wa katibu mwenezi mifano ni mingi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom