Mapendekezo ya slogan dhidi ya Kaizer Chiefs

Makaburu na Waizrael ni sawa nchi zao za asili hazijulikani ila wana nguvu maarifa na akili nyingi. Simba imesajili vichezaji viandunje majamaa yalikuwa yanatumie vichwa tuu
 
Habari wanamichezo na wapenda soka kwa ujumla.Poleni kwa yaliyoikuta Nchi yetu huko kwa kwa Makaburu.

Jumamosi ni siku ambayo tutaenda kuishangaza dunia kwa kuichakaza vibaya mno Kaizer siyo (lazima uamini)lakini ipo hvyo.Last time tulikuwa na Slogan WAR IN DAR,POINT OF NO RETURN na zingne nyingi.Safari hii unapendekeza tuingie na Slogan ipi?

Karibuni.
Hii ndio slogan muhimu
 
Heshima acha irudi acha tukawspokee, acha tujaze uwanja kwa rangi za njano tukamilishe sherehe kama mbwai na iwe mbwai

Jana kuna mtu kaongea maujinga yake akiwa afrika ya kusini baada ya droo na namungo bila kujua atakutana na makaburu wenye asira kali wiofanikiwa kutwaa ardhi ya wazulu kwa mabavu? Acha waje ! acha waje tuu asira zote za baba yao tiefu efu kuahirisha mechi tunaipeleka uwanjani
 
Habari wanamichezo na wapenda soka kwa ujumla.Poleni kwa yaliyoikuta Nchi yetu huko kwa kwa Makaburu.

Jumamosi ni siku ambayo tutaenda kuishangaza dunia kwa kuichakaza vibaya mno Kaizer siyo (lazima uamini)lakini ipo hvyo.Last time tulikuwa na Slogan WAR IN DAR,POINT OF NO RETURN na zingne nyingi.Safari hii unapendekeza tuingie na Slogan ipi?

Karibuni.
Imani ni kitu ajabu sana. Yaani mmewekeza imani yenu kwa Manara,chochote atakachobuni yeye tayari mnakiweka mioyoni mwenu. Eti war in dar....!matakoooooo...
 
Habari wanamichezo na wapenda soka kwa ujumla.Poleni kwa yaliyoikuta Nchi yetu huko kwa kwa Makaburu.

Jumamosi ni siku ambayo tutaenda kuishangaza dunia kwa kuichakaza vibaya mno Kaizer siyo (lazima uamini)lakini ipo hvyo.Last time tulikuwa na Slogan WAR IN DAR,POINT OF NO RETURN na zingne nyingi.Safari hii unapendekeza tuingie na Slogan ipi?

Karibuni.
F..k 'em or kill 'em
 
Back
Top Bottom