Mapendekezo ya sheria mpya

we msukuma wa bariadi hapo ndio umeonyesha umbumbumbu na upunga. ndio maana huko marekani umeolewa kwasababu ya utupu kichwani wa aina hii. nyie sijui nani kawaloga, mnaweza tu kufunga ng'ombe.

Umenichekesha.
 
uwa
uwa nafuatilia maandiko yako,mengi yalionyesha kama una busara, lakini hili hapa ni bandiko la kitoto sana. maybe this was after inebriating your brain.
 
Mabeyo alikuwa mkuu wa MIS na akapandishwa akawa mnadhimu mkuu


Mwamunyange alikuwa mkuu wa jkt na kama sijakosea mwaka mmoja kabla ya cdf wa wakati ule kustaafu alipandishwa kuwa mnadhimu mkuu


Huyo jamaa hana fact

Hujaelewa nilichoeleza...pole

Sijakataa kuwa hao uliowataja hawakupitia Unadhimu Ukuu....ninachosema...it is not Automatic kwamba ukiwa mnadhimu Mkuu then lazima uje kuwa CDF
 
Watu hawajalalamikia kuteuliwa watu kwa kufata protocal yako wanacholalamika Ni wingi Wa watu Wa kanda ya ziwa kwenye sirikal
 
Thank you!

Ninachotaka uelewe ni kwamba ukiwa mnadhimu Mkuu sio lazima uje kuwa CDF...wafuatao waliwahi kuwa wanadhimu wakuu lakini hawakuwa ma-CDFs....

Brigadier General Tumainiel Kiwelu 1975-1980;

Major General Imrani Kombe 1980-1983;

Major General M.N. Mwakalindile 1983-1988;

Lieutenant General Kiwelu 1988-1994;

Lieutenant General G. F. Sayore from 1994-2001

Lieutenant General Iddi Gahu 2001-2006

Lieutenant General Abdulrahman Shimbo 2007-
 

Ni kweli.

Lakini kwa Mabeyo, kwa kuangalia umri wa utumishi na cheo alichokuwa nacho, sikuona mwingine ambaye alirukwa na kupewa yeye.

Umri wake ulikuwa unaruhusu na pia ndo alikuwa second in command.

Hakuna ukabila hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…