Mapendekezo ya sheria mpya

Pambafu kabisa wewe ukome kuleta ugay wenu huku mmeshauleta uvccm sasa unafikiri kila sehemu ni mahali pakuuleta

Nadhani sasa forum hii tunaitumia vibaya.tukifungiwa na serikali huwa wa kwanza kulalamika.tutumie forum hii kwa ajili ya kupashana habari,kuelimishana,kuonyana.kurekebisha n.k lakini matusi nadhani tunakokwenda si sahihi.tutumie fursa hizi vizuri wanajamii vinginevyo tumwombe moderator ablock junk zote humu ndani.
 
hii mada nimeisoma kwa jicho la nne lililoko kisogoni.
bila shaka wengi wetu tutasema sheria hiyo haifai na haito wezekana. Kwahiyo kama haito wezekana na kwa sababu haifai

raisi anapoteua iwe watu wa kanda yake dini&dhehebu lake, kabila marafiki basi kusiwepo malalamiko. Nimekuelewa sana
 
Mwenyewe umeona umeandika bonge la mada,kumbe poyoyo tu
 
Wanaosema Magufuli ni mkabila,ndio hao waliomsema JK ni.mdini
Watu wakikosa madaraka watafanya chochote tu kuharibu nchi
 
I’m right here.

Sasa hao wengine kama walikuwa karibu kustaafu they don’t figure into the equation.

Ila, wakati Mabeyo anateuliwa kuwa CDF yeye ndo alikuwa second in command kwa Mwamunyange.

Na hapo alikuwa ni luteni jenerali.

Kuna tofauti ya kuwa next in the line (ambayo ni Seniority) na kuwa Afisa Mnadhimu Mkuu...wale niliokutajia...kwa wakti ule kijeshi jeshi walikuwa senior kwa Mabeyo....General Mwakalindile alikuwa Mnadhimu Mkuu...ilipofika wakati wa kuteua CDF pamoja na kwamba alikuwa next to the retired CDF...hakuteuliwa yeye akateuliwa mwingine...unakumbuka?

So it is not automatic kwamba ukiwa Mnadhimu Mkuu then utakuwa CDF
 

Mabeyo kabla ya kuwa CDF hakuwa mnadhimu mkuu?

Na Mwamunyange kabla ya kuwa CDF hakuwa mnadhimu mkuu?
 
Mabeyo kabla ya kuwa CDF hakuwa mnadhimu mkuu?

Na Mwamunyange kabla ya kuwa CDF hakuwa mnadhimu mkuu?
Mabeyo alikuwa mkuu wa MIS na akapandishwa akawa mnadhimu mkuu


Mwamunyange alikuwa mkuu wa jkt na kama sijakosea mwaka mmoja kabla ya cdf wa wakati ule kustaafu alipandishwa kuwa mnadhimu mkuu


Huyo jamaa hana fact
 
we msukuma wa bariadi hapo ndio umeonyesha umbumbumbu na upunga. ndio maana huko marekani umeolewa kwasababu ya utupu kichwani wa aina hii. nyie sijui nani kawaloga, mnaweza tu kufunga ng'ombe.
 
Mabeyo alikuwa mkuu wa MIS na akapandishwa akawa mnadhimu mkuu


Mwamunyange alikuwa mkuu wa jkt na kama sijakosea mwaka mmoja kabla ya cdf wa wakati ule kustaafu alipandishwa kuwa mnadhimu mkuu


Huyo jamaa hana fact

Thank you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…