mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,268
Kumbe vatikan wanaweza wakanunuaKagera ni mkoa wa Kipapa, uheshimiwe
Kanisa Moja Takatifu la Mitume!
Kwanini kwanini Kagera kwanini tusiuze Zanziber wateja wako nje nje.Ndugu.
Kutokana na kasi ya uwekezaji ni muhimu sasa tufikilie kuuza mkoa wa kagera. Mnunuzi atanunua kwa makubaliano ya miaka 30, 50 au hata 90. Kulingana na kiwango cha fedha ako nacho.
Kwanini mkoa wa kagera?
Kwanza ni mkoa ambao unatamaniwa na mataifa mengi jirani hivyo upo katika soko zuri. Mkoa huu ulitamaniwa na waganda, wahutsu na watutsi wote wanautamani.
Mkoa huu utamfaa muwekezaji kwa kilimo cha miwa na ndizi, uwekezaji wa senene na wananchi wenye elimu kubwa. Hakika mkoa huu utafanyika kuwa jiji kubwa.
Tukiuza mkoa huu
Tutapata fedha ya kununulia magari ya viongozi kuboresha utendaji kazi maeneo yetu. Tutapata fedha ya posho kwenye vikao vya viongozi na hata kuongeza muda wa bunge kuwa na vikao virefu zaidi ulimwenguni.
Tutapata fedha kwaajili ya Nauli na mafungu ya kujikimu kwa viongozi watukufu wanao safiri ndani na nje ya Taifa.
Tunaamini kwa kuwa wananchi wa kagera ni wasomi watakubaliana na pendekezo hili na wale wabishi kama mama Tibaijuka watadhibitiwa.
Ahsante
mtwa mkulu kiongozi wa wala mbwa wote jamii forum kwa sasa nipo lilongwe
@DP word kwa utekelezaji
FaizaFoxy aione kwenye jarada
Watanunua Ili iweje?Kum
Kumbe vatikan wanaweza wakanunua
Ok tuanze na wapi mbona mnabishana.Kwanini tusiuze Zanziber wateja wako nje nje.
Nawaloga mkiuza iringaView attachment 2684908
Tuiuze Iringa kutokana na baridi kali ya mkoa huo
Ni utani tu chifu wangu. Sina ubaya na eneo lolote la nchi yetuNawaloga mkiuza iringa
Ngoja ccm wafilisike uone kama haitauzwa.Ndugu.
Kutokana na kasi ya uwekezaji ni muhimu sasa tufikilie kuuza mkoa wa kagera. Mnunuzi atanunua kwa makubaliano ya miaka 30, 50 au hata 90. Kulingana na kiwango cha fedha ako nacho.
Kwanini mkoa wa kagera?
Kwanza ni mkoa ambao unatamaniwa na mataifa mengi jirani hivyo upo katika soko zuri. Mkoa huu ulitamaniwa na waganda, wahutsu na watutsi wote wanautamani.
Mkoa huu utamfaa muwekezaji kwa kilimo cha miwa na ndizi, uwekezaji wa senene na wananchi wenye elimu kubwa. Hakika mkoa huu utafanyika kuwa jiji kubwa.
Tukiuza mkoa huu
Tutapata fedha ya kununulia magari ya viongozi kuboresha utendaji kazi maeneo yetu. Tutapata fedha ya posho kwenye vikao vya viongozi na hata kuongeza muda wa bunge kuwa na vikao virefu zaidi ulimwenguni.
Tutapata fedha kwaajili ya Nauli na mafungu ya kujikimu kwa viongozi watukufu wanao safiri ndani na nje ya Taifa.
Tunaamini kwa kuwa wananchi wa kagera ni wasomi watakubaliana na pendekezo hili na wale wabishi kama mama Tibaijuka watadhibitiwa.
Ahsante
mtwa mkulu kiongozi wa wala mbwa wote jamii forum kwa sasa nipo lilongwe
@DP word kwa utekelezaji
FaizaFoxy aione kwenye jarada
Sawa sawaNi utani tu chifu wangu. Sina ubaya na eneo lolote la nchi yetu
😆😆😆Naunga mkono hoja....
Hakuna faida yoyote kagera wanayoipata ikiwa sehemu ya Tanzania...hadi leo mkoa mzima hauna hata stendi ya mkoa...
Bora hata Idd Amini angeinyakua tu...
Sahihi huwezi kuuza kardinaliKagera ni mkoa wa Kipapa, uheshimiwe
Kanisa Moja Takatifu la Mitume!
Hii hapana shaka tumeanza kwa hatua tumezungumza na dubei emiret na tumekimbilia dodoma🤣🤣aseee mie Nina wazo tuiuze daslam yote,tunaweza pata muarabu mwenye mijihela yake haina kazi🙏akatuondolea hizi kero zote,na msaini mikataba naomba awe waziri mkuu,kasimu majaliwa kasimu🤣🤣