Mapendekezo: Serikali iongeze kodi kwenye vifurushi vya data

Roho mbaya ktk ubora wake.labda anatamani enzi zile za nchi nzima mwenye TV mmoja halafu akipata habari muhimu anajifanya kaota au anatabiri.
 
wameshakusikia subiria uteuzi.
 
Nashangaa kuona unajinadi kukemea na kuchukia mawazo ya watu huku ukiyaita umbea wakati wewe nawe upo humu jamvini unapiga umbea. Jitafakari uchukue hatua...... 👺
 
Ongeza kodi mjenge Chato!
 
Waandikie barua wahusika barua ya maombi kama unaona kupata hvyo vifurushi kwa bei hizo ni kikwazo kwako wakupandishie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…