Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,110
- 3,269
Itakuwa katumwa labda ili waone mwitiko ukoje labda ndo mipango.
Doh watu mmechukiaNyokolist
Acha umbea, uchonganishi na uzandiki mtoto wa kiume na hii dalili ya mwanzo kuwa mchawi
Umbea na uzandiki sio maoni hayo.Nimepima nimeona huna dhamira ya kuinua uchumi.
Lengo lako ni kuwaziba watu midomo wasiweze kutoa maoni yao yanayokuudhi.
Huu nao ni udhaifu, hasa udhaifu wa kutovumilia maoni ya watu
wameshakusikia subiria uteuzi.Haya ni mapendekezo yangu kwa serikali.
Tanzania ni nchi yenye gharama ndogo sana ya vifurushi vya mtandaoni kuliko nchi yoyote hapa Afrika.
GB moja ya data Tanzania unaweza kuipata kwa kuanzia dollar senti hamsini hadi dola moja(tzs 1000-tzs2000) nchi nyingine GB moja ya data iko juu ya dollar 5(zaidi ya tzs 10,000) hadi dollar 10(tzs 20,000).
Watanzania hatutumii urahisi huu wa bei ya vifurushi mtandaoni kwa uzalishaji au mambo yenye tija(wapo wachache sana) zaidi ya kujikita kwenye umbea, uzandiki, uzushi, uongo na kila kitu cha namna hiyo.
Haya mambo yote ya uzushi na umbea yamepata nafasi kwa sababu ya urahisi wa vifurushi vya data kuingia mitandaoni. Kila mtu anaweza kumudu kuingia mtandaoni kwa urahisi na akatukana au kutengeneza ushushi wa aina yoyote na akapata wafuasi wa kutosha.
Napendekeza serikali iongeze kodi kwenye gharama za vifurushi vya data, GB moja ya data iuzwe si chini ya tzs 3000 kwenda juu.
Ongeza kodi, ongeza mapato kwa maendeleo ya nchi yetu.
Ongeza kodi mjenge Chato!Haya ni mapendekezo yangu kwa serikali.

Haya ni mapendekezo yangu kwa serikali.