Mapendekezo: Serikali iongeze kodi kwenye vifurushi vya data

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
2,387
2,000
Haya ni mapendekezo yangu kwa serikali.

Tanzania ni nchi yenye gharama ndogo sana ya vifurushi vya mtandaoni kuliko nchi yoyote hapa Afrika.

GB moja ya data Tanzania unaweza kuipata kwa kuanzia dollar senti hamsini hadi dola moja(tzs 1000-tzs2000) nchi nyingine GB moja ya data iko juu ya dollar 5(zaidi ya tzs 10,000) hadi dollar 10(tzs 20,000).

Watanzania hatutumii urahisi huu wa bei ya vifurushi mtandaoni kwa uzalishaji au mambo yenye tija(wapo wachache sana) zaidi ya kujikita kwenye umbea, uzandiki, uzushi, uongo na kila kitu cha namna hiyo.

Haya mambo yote ya uzushi na umbea yamepata nafasi kwa sababu ya urahisi wa vifurushi vya data kuingia mitandaoni. Kila mtu anaweza kumudu kuingia mtandaoni kwa urahisi na akatukana au kutengeneza ushushi wa aina yoyote na akapata wafuasi wa kutosha.

Napendekeza serikali iongeze kodi kwenye gharama za vifurushi vya data, GB moja ya data iuzwe si chini ya tzs 3000 kwenda juu.

Ongeza kodi, ongeza mapato kwa maendeleo ya nchi yetu.
Screenshot_20190918-080145_Twitter.jpg
 
MAUBIG

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
999
1,000

Acha umbea, uchonganishi na uzandiki mtoto wa kiume na hii dalili ya mwanzo kuwa mchawi
 
Greg50

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
1,491
2,000
Haya ni mapendekezo yangu kwa serikali.

Tanzania ni nchi yenye gharama ndogo sana ya vifurushi vya mtandaoni kuliko nchi yoyote hapa Afrika.

GB moja ya data Tanzania unaweza kuipata kwa kuanzia dollar senti hamsini hadi dola moja(tzs 1000-tzs2000) nchi nyingine GB moja ya data iko juu ya dollar 5(zaidi ya tzs 10,000) hadi dollar 10(tzs 20,000).

Watanzania hatutumii urahisi huu wa bei ya vifurushi mtandaoni kwa uzalishaji au mambo yenye tija(wapo wachache sana) zaidi ya kujikita kwenye umbea, uzandiki, uzushi, uongo na kila kitu cha namna hiyo.

Haya mambo yote ya uzushi na umbea yamepata nafasi kwa sababu ya urahisi wa vifurushi vya data kuingia mitandaoni. Kila mtu anaweza kumudu kuingia mtandaoni kwa urahisi na akatukana au kutengeneza ushushi wa aina yoyote na akapata wafuasi wa kutosha.

Napendekeza serikali iongeze kodi kwenye gharama za vifurushi vya data, GB moja ya data iuzwe si chini ya tzs 3000 kwenda juu.

Ongeza kodi, ongeza mapato kwa maendeleo ya nchi yetu.

Wakiongeza kodi kwenye mshahara wako au biashara yako itatosha
 
Sir Khan

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
5,120
2,000
Watanzania mlivyo wanafiki,serikali ikifanya kama ulivyoshauri wewe unakuwa mtu wa kwanza kulalama na kuitukana serikali.
Ndio maana Rais wetu daima husema 'SIPANGIWI'
 
Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Aug 6, 2018
4,499
2,000
Aisee huu ushauri wako hata shetani hawezi kulike,hizo nchi nyingine zina sababu nyingine kuwauzuia watumiaji wake bundle kwa gharama kubwa
 
Likasu

JF-Expert Member
Jan 18, 2011
793
500
Haya ni mapendekezo yangu kwa serikali.

Tanzania ni nchi yenye gharama ndogo sana ya vifurushi vya mtandaoni kuliko nchi yoyote hapa Afrika.

GB moja ya data Tanzania unaweza kuipata kwa kuanzia dollar senti hamsini hadi dola moja(tzs 1000-tzs2000) nchi nyingine GB moja ya data iko juu ya dollar 5(zaidi ya tzs 10,000) hadi dollar 10(tzs 20,000).

Watanzania hatutumii urahisi huu wa bei ya vifurushi mtandaoni kwa uzalishaji au mambo yenye tija(wapo wachache sana) zaidi ya kujikita kwenye umbea, uzandiki, uzushi, uongo na kila kitu cha namna hiyo.

Haya mambo yote ya uzushi na umbea yamepata nafasi kwa sababu ya urahisi wa vifurushi vya data kuingia mitandaoni. Kila mtu anaweza kumudu kuingia mtandaoni kwa urahisi na akatukana au kutengeneza ushushi wa aina yoyote na akapata wafuasi wa kutosha.

Napendekeza serikali iongeze kodi kwenye gharama za vifurushi vya data, GB moja ya data iuzwe si chini ya tzs 3000 kwenda juu.

Ongeza kodi, ongeza mapato kwa maendeleo ya nchi yetu.
Piga magoti utubu dhambi ya uchawi.
 
Los técnicos

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
2,867

Nimepima nimeona huna dhamira ya kuinua uchumi.

Lengo lako ni kuwaziba watu midomo wasiweze kutoa maoni yao yanayokuudhi.

Huu nao ni udhaifu, hasa udhaifu wa kutovumilia maoni ya watu
 
Goldman

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
1,835
2,000
So ww jamaa unakerwa na umbea wangu? Really? Yaani unachukia mi kuangalia insta na ku post umbea? Yaani maisha haya yalivyo magumu hutaki hata nikifariji kwa umbea wa mitandaoni? Kweli ww jamaa ni mchawi!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom