mizarb
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,402
- 1,285
Kutokana na utaratibu mpya wa walimu kusafiri bure kwenye daladala, napendekeza daladala zote za manispaa ya Kinondoni ziainishe wazi kuwa walimu kusafiri ni bure ili kuondoa adha ya walimu kudhalilishwa pindi wapandapo daladala hizo.
Kama ilivyo kwa maandishi mengine ya nauli za watu wazima na wanafunzi ubavuni mwa daladala, napendekeza maandishi ya "WALIMU BURE" yaonekane kwenye daladala zetu.
Hii itasaidia walimu wetu kusafiri kwa amani bila bughudha nyingi.
Nawasilisha...