mkurugenzi1
Senior Member
- Mar 22, 2009
- 122
- 28
*Open letter to the Minister of Finance*
Dear Minister of finance Hon. Njeru Githae,
Hii cost of living imepanda sana bana. So as you read the budget, kama inawezekana, naomba serikali ipunguze bei ya samaki. Samaki zimekuwa expensive sana. Kwani zina
swim kwa petroli? Nkt! Pia, badala ya avocado kukam na mbegu ikuwe inakam na mayai ndani instead.
... Donught pia ni problem. Tafadhali punguzeni size ya hiyo shimo. Ama hata mtoe kabisa juu hata si tamu. And
lastly, naomba pia coca cola wakuwe wanajaza soda mpaka hapo kwa kifuniko.
Sincerely,
Sk the common mwananichi