Mapema tu Vincent J.Nyerere mbunge Tena 2015

Voice of Mara

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
358
Reaction score
127
mgombea ubunge jimbo la Musoma mjini napia Mwenyekiti wa chadema Mkoa wa mara.amezidi kutikisa mji wa Musoma katika muendelezo wa kampeni zake anazofanya kata tofauti,na muonekano kuonesha katika uchaguzi anaweza kushinda mapema sna kuliko hata uchaguzi uliofanyika 2010.tazama picha mbali mbali ya mkutano aliofanya jana kata ya Kitaji👇na leo atakwa kata ya Kwangwa kuendelea kusema na wakazi wa kata hiyo napia kuomba kura yake pamoja namadiwani na rais kupitia tiketi ya Ukawa.....
 

Attachments

  • 1442898446528.jpg
    84 KB · Views: 986
wanainchi na wakazi wa Kitaji wakiendelea kumsikiza Mhe Nyerere
 

Attachments

  • 1442898502401.jpg
    91.6 KB · Views: 721
Nyerere akiendelea kusema na wana kitaji
 

Attachments

  • 1442898658585.jpg
    74.6 KB · Views: 617
Nyerere akiendelea kujinadi na kuomba kura
 

Attachments

  • 1442898707531.jpg
    75.2 KB · Views: 561
Wanainchi wakiendelea kumsikiza Nyerere jana jioni
 

Attachments

  • 1442898772452.jpg
    68.9 KB · Views: 524
Wanainchi wakizidi kufatilia kinachoendelea hiyo jana
 

Attachments

  • 1442898827750.jpg
    78 KB · Views: 503
Nyerere Tena Musoma mjini 2015
 

Attachments

  • 1442898879522.jpg
    75.4 KB · Views: 482
Kitaji wamesema Nyerere Tena
 

Attachments

  • 1442898937200.jpg
    80.9 KB · Views: 446
Nyerere akiwa jukwani kusema na wana Kitaji
 

Attachments

  • 1442898971462.jpg
    89.3 KB · Views: 426
Asnteni wana Kitaji Leo zamu ya Kwangwa
 

Attachments

  • 1442899028615.jpg
    68.2 KB · Views: 414

Majimbo yoote ya mkoa wa mara ni ukawa
 
Sikujua kama watu wa msoma wa hovyo vile, maji hawana maisha magumu ajira hakuna bado wanamshabikia huyu jamaa.
 
Sikujua kama watu wa msoma wa hovyo vile, maji hawana maisha magumu ajira hakuna bado wanamshabikia huyu jamaa.

Nyerere anakusanya kodi na ndiye waziri wa Maji!! CCM mnalishwaga nini???
 
Yule mzee wa Gombe naona hasikiki kabisa kwenye campaign za kitaifa kama miaka ya nyuma...inaonekana ngoma inazama huko Bunda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…